Sura ya John Bolton Trumps national security advisor inachekesha

Mbususu Enthusiast

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
5,919
2,000
Mzuqa!

Trump chief national security advisor John Robert Bolton.

Dah Utadhan Nyau aiseee.

merlin_155490537_f42cf12d-bd7a-48a0-a544-f8cc5c46f89b-jumbo.jpg
 

Omary Ndama

JF-Expert Member
Apr 16, 2017
3,373
2,000
Mpiga pesa huyo kutoka kwenye makampuni ya kutengenezea silaha ya kiyahudi, anapigana kwa nguvu zote US aivamie Iran majizi yapige hela kwa mikataba minono minono itolewayo na serikali ya Marekani kwa makampuni mbalimbali yakuhudumu vitani, Mijizi hiyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom