Sura vs msambwanda unachagua kipi?

four eyes

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
905
Reaction score
1,410
Salama wadau humu ndani?

Kuna hili suala ambalo nimeona sio vibaya tukiulizana kujua utashi wa kila atakayechangia tuone kipi watu wanapenda zaidi inapobidi kuchagua kimoja.

Ni ndoto ya kila mmoja kupata mwanamke aliyetimia kuanzia sura mpaka umbo na kwa sie waafrika toka kale tupo katika umbo tunamaanisha kalio lililoshiba vizuri yani msambwanda kwa lugha ya mtaani.

Lakini kwa bahati mbaya sio mara nyingi mtu hubahatika kupata seti iliyokamili, ndipo hapo napopenda kujua je kati ya binti mwenye sura nzuri lakini nyuma flat screen na binti asiye na sura nzuri ila nyuma amesheheni vizuri au ana umbo zuri upendalo utachagua yupi? Mimi binafsi msambwanda ndio ugonjwa wangu sura sio issue sana.

Karibuni wadau
 
Kama kuna uwezekano wa kupata mwenye vyote I will go for the un-mentioned 3rd option
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…