mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 794
Katika mitazamo ya watu na mataifa hasimu na tishio yanayoishi kwa hofu ya ugaidi duniani yanaona kuwa kuna namna mbalimbali zinazopelekea ugaidi na leo ISIS ishike vichwa vya habari sehemu mbalimbali duniani.
Upo uwezekano mkubwa wa kushamiri kwa makundi na ama yasiishe daima dumu.
Wakati wengine wakishutumu ISIS na Ama ugaidi kama tishio si wote wanao ona na Ama kutojionyesha kuunga ama kutounga mkono makundi haya.
Wakijadili katika kipindi wataalamu na maprofesa wa ki-Israel na Ki Marekani, walikiri kuwa hata umoja wa ulaya katika sera yao ya sheghen inachangia kusaidia kuwapenyeza wanamtamtandao wa ISIS na kurahisisha kazi zao ka kulipua na hivyo kusababsha makundi na wananchi kuishi kwa kutoamini usalama wao.
Mtazamo wangu unanipa picha kwamba kwetu sisi nchi maskini tunaotumiwa na makundi haya kufanya maasi haya ya kihalifu, tunatofautiana , wengine wanatazama kama pande mbili zinazokiinzana, nchi tajiri na ama kusimamia misimamo yao ya kiimani husababisha wananchi waliochosha na maisha katika mataifa yao kujiunga na vikundi hivi.
Upande wa pili, wapo ama sisi wengine, wasiopenda fujo na mauaji na kuchukulia wahalifu hawa hutenda kwa sababu ya misimamo binafsi.
Ama katika tukio la mmarekani na mkewe alietekeleza mauaji hivi karibuni inatoa picha kwamba kila familia yenye wanandugu huwezi jua ni nani anaunga mkono pande zii, hivi si rahisi sana kumtambua adui yako, katik avita dhidi ya ugaidi na makundi yanayojiita isis.
Sasa basi tuna wakati mgumu kupambana na ongezeko la makundi ya kigaidi duniani.
Ifike mahali EU iondoe shengen, kila inchi iweke taratibu za kiusalama katika mipaka yake.
Mataifa ya ng'ambo yaache kuruhusu vyombo vya habari nchini mwao kurusha taarifa za kuudhi jamii zingine.
Mataifa makubwa yasaidie nchi masikini kujukwamua kiuchumi, kuondokana na kurubuniwa wananchi wao na makundi hasimu.