Sura mbili za wanawake

Hata wanaume huwa hawajui wanachotaka.

Wanaume tunajua sana, shida inakuja pale unapotaka kumpa mwanamke kile wewe unajua unataka, lakini kwa kuwa yeye hajui anataka nini, hapo ndiyo shida.
 
Sie hatujaumbwa mtuelewe bali kupendwa tu hivyohivyo tulivyo na nyie tuwaheshimu


Pia bado tatizo. Nikupenda kidogo shida- unahisi na nyumba ndogo, nikikupenda sana shida- unaniona -----/mjinga, nikikupenda wastani taabu- unaona sipo "Serious".
 
Sie hatujaumbwa mtuelewe bali kupendwa tu hivyohivyo tulivyo na nyie tuwaheshimu
Unaweza kuainisha vitendo muhimu ambavyo mwanaume akivifanya kwako vitathibisha kuwa anakupenda!!?
 
Ivi wewe maswal unayojiulza umeoga kwanza leo ndo ukaingia na kupost uzi humu? Je we unataka nin kwa mkeo mbona huridhki? Mkeo mzur white kiac, umbo namb 8, kaumbika kila kona watt kakupatia, wf material ye kashk namba 1,

huduma kitandan mapokez mazuri, saut ya kistaarab na heshima anavyo, usir wa mambo yenu anatunza, je kipi umekosa? Kwanini unatafta radha nje ya mahcano? Kwann unafumaniwa? Je upewe nini, unataka nin?
 
Being moderate its all we&i got to do...! I love jf ooouuhh i just cant go a day widaut signing in huuuh daim it
 

You too .......... huuuuuuuuh
 
To get what you want simply be yourself. Never adjust to suit another person likings.
Again be yourself. Somebody will accept that self of yours.
 
Hao ndo wanawake(binadamu).
 

Attachments

  • 1431005998389.jpg
    29.1 KB · Views: 172

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…