wa namna hio wapo kwel mkuu
Ukweli mwanamke hajuagi nini anachotaka. Ni shawahi kuuliza wanawake kadhaa kwa nini hamueleweki, wengi walinijibu wala hata siyo mwanaume, mara nyingine inabidi mwanaume atumie akili ya kufosi kwa sababu wao hawajui wanachotaka.

yan siku izi hakuna mwanaume anae relax ktk mahusiano..kote balaa tu no matter who/what you have
Usihangaike na wanawake wengi maana utakufa bado mdogo, tafuta size yako usifate size za wenzako...we unajua kabisa huyu si wa baiskeli we unamfata wa nini? unajua huyu humuwezi unamfata wa nini? unajua una muwa unataka rambo la nini? kila mtu na mtu wake, ukimpata wa size yako utakula bata, ukimpata wa mwenzako utaliwa bata..penda kwa moyo na akili, usipende kwa moyo peke ake Broh...
Maswali yako mengi sn. That doesn't happen always n not automatic. It happens to just few individuals who. It is vr unfortunate if that ever happened to u. Majority we real enjoy our relations coz we fit perfectly!
Probably u have a wrong choice in ur hand

Hata wanaume huwa hawajui wanachotaka.Ukweli mwanamke hajuagi nini anachotaka. Ni shawahi kuuliza wanawake kadhaa kwa nini hamueleweki, wengi walinijibu wala hata siyo mwanaume, mara nyingine inabidi mwanaume atumie akili ya kufosi kwa sababu wao hawajui wanachotaka.
serious?....Hata wanaume huwa hawajui wanachotaka.