Sura mbili za wanawake

Sura mbili za wanawake

bado nipo

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
303
Reaction score
43
Wanawake wana sura mbili

1:kabla ujamuoa au ujafunga naye ndoa;
kipindi hiki mwanamke ata kufanyia mambo mengi sana ili akuonyeshe kma anakupenda pia ata wapenda ndugu zako mama mkwe na wifi zake.

Atashiriki kwenye kila jambo la uzuni na furaha pia ata kma una watoto wa nje ata wapenda na kuwaletea zawadi mbele yako kma peni madaftari na vitu mbalimbali pia ata wewe ukipumua ata kupa pole.

2:Baada ya kufunga ndoa;
Hapo sasa ndio anaanza kuonyesha tabia zake hatawajali ndugu zako kma zamani malingo yataongezeka pia ata wachukia watoto wako wa nje ata kuwa na kiburi ata wachukia wifi zake na wakwe zake.

NB:Usidanganyike na tabia za mwanamke kabla ajaingia kwenye ndoa
.
 
nakataa ndugu yangu roho ya mtu haibadiliki hata aificheje hata nyie wanaume japo si wote mko hivo na naonge hapa nina xperience nalo jambo hili
huo ndo ukweli mnaficha makucha mukisha ingia kwenye ndoa tu tabu inaanza nami nina ushaidi
 
huo ndo ukweli mnaficha makucha mukisha ingia kwenye ndoa tu tabu inaanza nami nina ushaidi

ahahahaha tabia haifichiki ndugu yangu hata afiche vipi utaigundua tuuu na had mnaamua kuingia ndoan that means mmeridhika na kila tabia ya mtu na hakuna hoja kati yenu ya kupinga
 
takwimu zinaonyesha wanaume wengi wanabadirika baada ya ndoa

Takwimu hizo umezifanya kwa wanaume wangapi na wanawake wangapi

Ki ukweli vitabu vyote vya dini za uislamu na ukristo vimetuelekeza tuishi nào kwa akili
Sasa hapa ndio utajua nani mbadilikaji rahisi katika ndoa
 
Hivi mapenzi si ni kati yenu wawili? Mwenza akiwa na kazi ya kuvhekacheka kama zuU na kujitumikisha si atachoka! Hivi bado watu wanaziolea familia zao au wanazoanzisha wao wenyewe?
 
una tatizo wewe mtoa mada

roho na tabia ya mtu huwaga haifichi kamwe asilani hta kama bado hajaolewa au ameolewa atakuwa vilevile tu
labda wale wanaojifanyisha tu ila tabia ya mtu haifichi kabisaaa
 
una tatizo wewe mtoa mada

roho na tabia ya mtu huwaga haifichi kamwe asilani hta kama bado hajaolewa au ameolewa atakuwa vilevile tu
labda wale wanaojifanyisha tu ila tabia ya mtu haifichi kabisaaa
lady furahia. mm cna tatizo OVER
 
Wanawake wana sura mbili

1:kabla ujamuoa au ujafunga naye ndoa;
kipindi hiki mwanamke ata kufanyia mambo mengi sana ili akuonyeshe kma anakupenda pia ata wapenda ndugu zako mama mkwe na wifi zake.

Atashiriki kwenye kila jambo la uzuni na furaha pia ata kma una watoto wa nje ata wapenda na kuwaletea zawadi mbele yako kma peni madaftari na vitu mbalimbali pia ata wewe ukipumua ata kupa pole.

2:Baada ya kufunga ndoa;
Hapo sasa ndio anaanza kuonyesha tabia zake hatawajali ndugu zako kma zamani malingo yataongezeka pia ata wachukia watoto wako wa nje ata kuwa na kiburi ata wachukia wifi zake na wakwe zake.

NB:Usidanganyike na tabia za mwanamke kabla ajaingia kwenye ndoa
.

Ni kweli kabla ya kuoana mwanamke na mwanaume huoneshana mapenzi 'bandia' wakishaingia kwenye ndoa huanza kiburi, hakuna kutoana out, kila mmoja huchukia ndugu wa mwenzi wake, kila mtu huwachukia watoto wa mwenzake aliowazaa kabla ya kuoana, n.k., n.k.
 
huo ndo ukweli mnaficha makucha mukisha ingia kwenye ndoa tu tabu inaanza nami nina ushaidi

Huyo ni wakwako, jaribu lako lishinde mwenyewe usitujumlishe wote et kisa wewe uliyemuoa kabadilika
 
Back
Top Bottom