Sura halisi ya marehemu Kinyambe

Sura halisi ya marehemu Kinyambe

kizibo1

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
1,187
Reaction score
766
f2c6867c027f42aa9dcc7348f69f6594.jpg
 
Jamani kumbe alikuwa mzuri tu mungu ailaze roho yake mahala pema. Peponi
 
Sijawahi ona hii sura before zaidi ya kusikia mchekeshaji maarufu kandei... nilishikwa na butwaa kusikia maarufu na mimi simfahamu... ila wapenda ujinga ujinga wote wanamfahamu...
 
wekeni clip yake niona kama anachekesha...
 
Sijawahi ona hii sura before zaidi ya kusikia mchekeshaji maarufu kandei... nilishikwa na butwaa kusikia maarufu na mimi simfahamu... ila wapenda ujinga ujinga wote wanamfahamu...
Acha kuita watu wajinga kwani wewe ni nani haswa?Watu wengine kwa kujikweza utafikiri wana chochote kumbe masikini kapuku...
 
Sijawahi ona hii sura before zaidi ya kusikia mchekeshaji maarufu kandei... nilishikwa na butwaa kusikia maarufu na mimi simfahamu... ila wapenda ujinga ujinga wote wanamfahamu...

wewe ni mboga nane?
 
Wekeni hiyo sura yake ya uigizaji wengine hatumjui
 
Mtu akifa ndo mnasifia, sisi watz sijui tukoje sisi aisee
 
Back
Top Bottom