Supu..

Supu..

Joined
Feb 20, 2012
Posts
93
Reaction score
11
Nawasalimu wote! Imeamriwa usile nyama siku ya Ijumaa kuu. Nawakumbusha wale wenzangu na mimi mnaowahi kwa "mangi" kupata supu asubuh asubuh. Pia tukumbuke kwenda kwenye ibada. Asanteni, maandalio mema ya PASS'OVER..
 
hata ivyo supu kesho haitakua tamu kiivyo...maana hako kam-mbwa alikopita nako mangi hapa hakana afya kabsaa!
 
hata ivyo supu kesho haitakua tamu kiivyo...maana hako kam-mbwa alikopita nako mangi hapa hakana afya kabsaa!
.
Mkuu BAGAH upo? Nakumbuka ule uzi ulioanzisha those dayz lol. Naona huyo mangi ukoo wake ulianzia kule kwa akina Chifu Mkwawa..
 
.
Mkuu BAGAH upo? Nakumbuka ule uzi ulioanzisha those dayz lol. Naona huyo mangi ukoo wake ulianzia kule kwa akina Chifu Mkwawa..

M.O.S.H.I (MUNGU ONESHA SEHEMU HELA ILIPO)...kichaga...LOL...!

sasa wameingilia mpaka kazi za kina HEHE!!.
SI Unit nipo mwingi niaje!
 
M.O.S.H.I (MUNGU ONESHA SEHEMU HELA ILIPO)...kichaga...LOL...!

sasa wameingilia mpaka kazi za kina HEHE!!.
SI Unit nipo mwingi niaje!
.
Poa kiongozi. Naona rev. katukumbusha kitu cha ijumaa kuu!
 
Naomba kueleweshwa maana mi si msomaji saana wa biblia!! MSTARI UPI KWENYE BIBLIA unaokataza kukandamiza nyama siku ya ijumaa kuu.
MP.
 
Back
Top Bottom