Haujakoma?Ngoja uumwe tena tumbo.Linda sana tumbo lako.Penda kula viazi vilivyochemshwa,mtindi,maziwa fresh,juice za matunda mbalimbali,dona,karanga mbichi,matunda,mboga za majani,nafaka za ngano,mtama,mihogo,supu ya samaki na kadhalika.
πππ tararibu mkuu. Ujue humu kuna uzi wa vyakula? Post kama hii inatakiwa iende kule, huyu yeye anakosea kila anachokula anakifungulia thread.