NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
hhaaaaaaaaa eti ukavu lol
siku hizi hata vijana wa kiume mi ka niko karibu lazima nimtizame huyo anaeagiza chips yai yukoje yukoje
Juice ya tende ni habari nyingine aise
We nae juice inakuhusu.....bora ungekuwa unasimamia papuchi kama unavyong'ang'ania bodaboda
We nae juice inakuhusu.....bora ungekuwa unasimamia papuchi kama unavyong'ang'ania bodaboda
hahaaaa hii siredi inanichekesha
Njoo kwangu uone, hao wanaosifia humu jukwaani supu ya pweza na juisi ya tende ndio hao hao wanaoziuza.
Jipeni moyo tu......siku hiz mkiona papuchi mnamwaga nakujidai mna presha sasa mapinduz ni lazima
Habari zenu wana jamii.....
Kama heading inavyojielezea jamani,kumekuwa na ongezeka la wauza supu ya pweza na juice ya tende mixer maziwa,Nilipojaribu kudadisi kwa undani zaidi haswa kwa watumiaji wa hizo bidhaa wanasema inasaidia kuleta heshima ndani ya nyumba.
Sasa nina maswali maana kumekuwa na malalamishi juu ya lower performance ya wanaume wengi inapelekea tunakosa raha jamani.
Kama hivyo ongezeni dozi ya hiyo supu jamani maana tunashindwa kuelewa tuwaweke kundi gani na mbona vijana wa zamani kama babu Asprin hawakuwa wanalalamikiwa namna hii???
Jitahidini la sivyo hao mnaoita wazee watafanya mapinduzi.
Jumapili njema!!!!!----------->>>ndukiiii
hahaaaa Dreson4 umenichekeshaje
Leo tunaongelea wanaume wanawake siku. nyingine usituhamishe kwenye mada pulizi. siku hizi malalamiko yamekuwa mengi
We unatumia nini???maana kama tende ndo nasikia hatari
nyie daily ni papuchi, hivi mnafanyaga kazi gani lakini? hakuna mabo ya kujadili ya maendeleo,kati ya post/coment zako 5 kjwa siku 4 ni kuhusu haya? tutafika kweli? au na hizi lawama ni kwa CCM?
Naona unatafuta dawa ya mr wako eeh? mwambie afanye mazoezi ya kuogelea kutoka dar hadi zanzibar tatizo litakwisha.
nyie daily ni papuchi, hivi mnafanyaga kazi gani lakini? hakuna mabo ya kujadili ya maendeleo,kati ya post/coment zako 5 kjwa siku 4 ni kuhusu haya? tutafika kweli? au na hizi lawama ni kwa CCM?
Can u imagine a guy anaanzisha thread ya kulalamika ati mdada haridhiki wakati wa game?.. am sure comments atakazopata anaweza akafungua account mpya JF..
take ur time ladies kuwafundisha ur guys how to handle u kama wao wameshindwa, maana hadi kukubali kumvulia pichu u must b ready kumrekebisha anapopungukiwa ila supu ya pweza sijui nini t doesnt help at all.. never had n never will, ts a myth..
Ikigoma kabisa kama a girl yuko insensitive ndani ya vaginal walls au a guy dakika mbili inalala hadi lucid dreaming kabisa, basi zipo position nyingi ambazo a guy n a girl wanaweza kua ambazo zitaruhusu a guy kustimulate clitoris wakati wa game either kwa mikono au kwa dushe lake, that way kwa kua ndo the most sensitive part nakuhakikishia mdada wa watu dakika tano nyingi lazima unyanyue mikono.. ila kulala flat jamaa anakomaa proba ya mdada kuwin ni kubwa, ukitaka kuamini mbadilishane msela awe flat afu dada anajipimia kwa juu uone kama mdada wa watu atadumu muda...
hili jukwaa la mahusiano na mapenzi unataka ajadili nini???
tutafika..., wakina nani hao
CCM Oyeee!!