Supu ya pweza Vs Juice ya tende


Haya malalamiko yanaanzia nyumbani ma baadae ndo tunaona tuyawakilishe humu....punguzeni chips yai ili muongeze heshima nyumbani
 
Binafsi siamini katika supu ya pweza na vingine kama hivyo, tatizo cku hizi haya mambo yapo open sana mnalalamika hadi mnaterrorize vijana hasa ambao ni bikra, maskini siku akikutana na papuchi mara ya kwanza anakumbuka mnavyosema sana hofu ikiingia baasi sek 30 kijana kamaliza mchezo
 
Haya malalamiko yanaanzia nyumbani ma baadae ndo tunaona tuyawakilishe humu....punguzeni chips yai ili muongeze heshima nyumbani
last time i remember ni girls ndo wamejaa kwenye places za chips mayai... lazima zitakua zinawafanya kitu hizo chips au zinakata sense kabisa... we ndo juzi ulikua unalalamika ukavu sehemu flani.. siku hizi hata clitorial stimulations hazifanyi utasema nerves zote hazikoconnected na brain
 
Tende+ Asali+ Maziwa fresh vi-blend pamoja tia kwenye glass yako....uwe unakunywa mara kwa mara. Mwanaume utakuwa unashughulika hadi raha na kama una mwanamke ambae mikiki ya sita kwa sita kajaaliwa...mbona burdaaani!
 
Kinachowaharibu vijana ni chips yai tena yai lenyewe la kizungu...sisi enzi zetu asubuhi ni Ugali na bamia..

mbona hujaniaga kama unakuja huku?

ugali bamia shughuli lazima iwe pevu.... unakuta mtu kapost IG lunch time... hivyo vyakula anavyokula lazima kuboost na supu ya pweza
 
Hamna cha supu ya pweza wala juisi ya tende.Chamsingi kula balanced diet na mazoezi kwa sana utapafomu sana tu
 
Juice ya tende ni habari nyingine aise
 

hhaaaaaaaaa eti ukavu lol

siku hizi hata vijana wa kiume mi ka niko karibu lazima nimtizame huyo anaeagiza chips yai yukoje yukoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…