Supu ya pweza & ngisi

Mzee naona mambo ya Foro kwa saaanaa!!!Pweza anapatikana kwenye mahoteli makubwa karibia yote ukianzia movenpick mpaka kempiski ila kama unavyojua wateja wengi wa pweza ni mtaani na kwa bei powa zaidi!!Kwa hiyo mkuu ukitaka pweza ni kitaa kwa sana tu!!usione aibu ndio kibongobongo hata matango yaliyokwisha menywa yanapitishwa barabarani!![/QUOTE]
Kiusalama inabidi upate wakiwa wa moto;maana yake na hisi mazingira yanakuwa utata kiasi fulani.
 
Back
Top Bottom