Supu ya pweza & ngisi

Edylux

Member
Mar 30, 2009
48
9
Salaams wana jf,

anayejua mahoteli au mikahawa ipatikanapo supu ya pweza, hapa dar es salaam anijulishe; please!!!!. Mimi ni mpenzi wa sea foods na sina jiko.

Edylux
 
mchuzi wa pweza unapatikana maeneo ya chang'gombe karibu na TTC sigara kuna baa jirani na TTC
 
Salaams wana jf,

anayejua mahoteli au mikahawa ipatikanapo supu ya pweza, hapa dar es salaam anijulishe; please!!!!. Mimi ni mpenzi wa sea foods na sina jiko.

Edylux

unatafuta chakula au dawa wewe?! hebu kuwa muwazi

nenda meeda sinza
 
Kiteitei Meeda Pub Sinza kwa sasa kuna Samaki,Prawns na Ngisi wa kukaanga... Kuhusu Supu Kushwinehi... Hamna..
 
Salaams wana jf,

anayejua mahoteli au mikahawa ipatikanapo supu ya pweza, hapa dar es salaam anijulishe; please!!!!. Mimi ni mpenzi wa sea foods na sina jiko.

Edylux
mtaa wa sudani knyama kwa HAMMY JEII...PWEZA NA NGISII WA KUMWAGAAAA JIONIII DAILY...

USISAHAU NA UROJOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Ilala Amana kituo cha Amana ukishuka uliza kwa wapemba hapo kuna supu ya Pweza, ngisi, kamba, na kila kitu, ila mhhhhh kazi kwelikweli
 
hata kituo caha makumbusho kuanzia jioni ya saa 12.30 watu wanaisubiria na mahot-pot kwa ajili ya waume zao na midume ndo tunajaa kuigombea....ila kaka swali la msingi...kwani unataka supu ya pweza kwa ajili ya kushiba au ndo unaboost ma-performance yako??
 
steved-albums-mh_pinda-picture389-pweza-forodhani1.jpg

...chunga msiharibu keyboard zenu tu kwa udenda... :)
 
vuka kigamboni!!Migahawa karibia yote iliyokaribu na kivuko inayo ila jioni flani hivi mida ya kama kumi na mbili au asubuhi sana kabla ya saa mbili!!kuna baa moja hivi pia iko kigamboni inaitwa lulu ipo mjimwema kuna kipindi walikua wanauza saana ila kwa sasa sina uhakika..hata soko la samaki magogoni unapata ila Mkuu hygiene ya pale sijui kama utaiweza!!!
Je unategemea nini ukishakunywa maana ushasema 'JIKO' huna!!!au nikuelekeze na pa kwenda kushushia???LOL
 
Akishapitia hizo sehemu washikaji itabidi ataomba sasa apelekwe kwengine jee muko tayari?
 
KWA NINI PWEZA HUUZWA MAGENGENI ?? HAKUNA MAHOTELI AU MIKAHAWA ?? NITAJIENI HOTELI
steved-albums-mh_pinda-picture389-pweza-forodhani1.jpg

...chunga msiharibu keyboard zenu tu kwa udenda... :)[/QUOTE]
 
KWA NINI PWEZA HUUZWA MAGENGENI ?? HAKUNA MAHOTELI AU MIKAHAWA ?? NITAJIENI HOTELI
steved-albums-mh_pinda-picture389-pweza-forodhani1.jpg

...chunga msiharibu keyboard zenu tu kwa udenda... :)
[/QUOTE]
Mzee naona mambo ya Foro kwa saaanaa!!!Pweza anapatikana kwenye mahoteli makubwa karibia yote ukianzia movenpick mpaka kempiski ila kama unavyojua wateja wengi wa pweza ni mtaani na kwa bei powa zaidi!!Kwa hiyo mkuu ukitaka pweza ni kitaa kwa sana tu!!usione aibu ndio kibongobongo hata matango yaliyokwisha menywa yanapitishwa barabarani!!
 
Back
Top Bottom