Toka nije hapa duniani miaka kadhaa iliyopita pamoja na maneno maneno mengi lakini sijawahi kufika jiji la Mwanza lakini hatimae mwezi huu tarehe kumi na nane mapema sana nitakuwa Mwanza na kesho yake mida ya jioni nitarudi Dar.
Japo ni kwa siku moja tu lakini ningependa kuonana na member wa jf aliyeko Mwanza, nitalala tilapia hotel. Kwakuwa ninakuja kikazi kwahiyo siku hiyo nikifika nitakuwa busy sana na nitapata nafasi ya kutulia kuanzia saa mbili usiku, kwa mwenye nafasi siku hiyo tuchekiane kwa PM tuone kama tutaweza kuonana.
Posted by:
SUPU YA MAWE