dickdickinyo
Senior Member
- May 19, 2015
- 118
- 53
BOY-Mambo baby.
GIRL-kimyaaa.
BOY-Mbona kimyaa mpenzi wangu?
GIRL-kimyaaa.
BOY-6756665497789467 Tigo.
GIRL-Mbona haiingii my love?
BOY-Gongelea na nyundo nyambaaf.
GIRL-kimyaaa.
BOY-Mbona kimyaa mpenzi wangu?
GIRL-kimyaaa.
BOY-6756665497789467 Tigo.
GIRL-Mbona haiingii my love?
BOY-Gongelea na nyundo nyambaaf.