Penye wakubwa hapaharibiki jambo.... Mwanamke alimzidi kauwezo ka kuyajua mahausiano yao....Pole sana kijana ila naomba nikwambie kitu Huyo mpenz wako alikuwa ana kusaliti mapema bila wewe kujua na huo mpango wa yeye kuolewa na huyo jamaa ulikuepo pasipo wewe kujua
Nawaza kwamba inawezekana alijua kabsa kws Sasa huna ubavu wa kumuoa hivyo akatumia hiyo njia kukukimbia.
Kumbuka kuwa ndoa ni mpango wa muda mrefu wenye mikakati mingi ndani yake pamoja na hatua muhimu kama kutoa posa na mengine mengi hivyo tambua dhahili kuwa Kipindi mko kwenye relationship yeye alikuwa mguu mmoja ndani mwingine nje okay wewe ulisahau kuweka wako mmoja nje
Kiukwel inaumiza sana I can imagine unavyo umia now but katika mahusiano don't trust a woman hata kidgo hiyo ndio siraha pekee ya kukuepusha na maumivu ya kijinga kama haya
Mungu akutangulie katika safari ya maamzi mapya but be careful
Ndio akili za wenzatu mkuukweli mkuu sikulitambua hilo mapema lahiti kama ningejua basi ningefanya ninavyojua mimi
FactPenye wakubwa hapaharibiki jambo.... Mwanamke alimzidi kauwezo ka kuyajua mahausiano yao....
Jamaa alikuwa mzima mzima kadumbukia kama yupo kwenye dimbwi la kuogelea huku mtoto akiendelea kumzamisha asione chochote.
Hawa viumbe sio kabsa kwa upande wangu huwa sina muda wa kumwamini mwanamkeNimeamini kwamba baadhi ya hawa viumbe ni sumu sana.
Na ndio maana sikutaka kujitwika mzigo mapema mkuu maana usawa wenyewe huu si wa mchezo.
Hawa viumbe sio kabsa kwa upande wangu huwa sina muda wa kumwamini mwanamke
Tatizo mapenz mkuu kupenda kuna shida sana.Penye wakubwa hapaharibiki jambo.... Mwanamke alimzidi kauwezo ka kuyajua mahausiano yao....
Jamaa alikuwa mzima mzima kadumbukia kama yupo kwenye dimbwi la kuogelea huku mtoto akiendelea kumzamisha asione chochote.
Sawa mkuu Fanya ibada utapata alie andaliwa kwaajili yakoKweli mkuu.
Be carefulNa sasa hivi Ni mwendo wa kata leta tu stress nilizopata we acha .
Nayajua majukumu yote hayo na ndio maana automatic sikutaka kuharakisha hilo jambo na yeye akachukua msimamo wangu kama fimbo ya kunichapia.achana na wazo la kuoa kwa sasa !ndoa ni zaid ya uijuavyo wewe ! ukishaoa automatic majukumu yanakuwa dabo upande wa kiumen na kwa mkeo !yaan usiharakishe kivilee !
Pole usione watu wanacheka ndoa zao ujanani wamepitia mengi.... Ila waliamua kujisahaulisha tu.Tatizo mapenz mkuu kupenda kuna shida sana.
Pole usione watu wanacheka ndoa zao ujanani wamepitia mengi.... Ila waliamua kujisahaulisha tu.
Pamoja mkuuSawa mkuu
Hii ni kwa upande wangu binafsi mkuu no way I can trust a womanyaan unakosea unapohukumu wote