SUPRISE ARTIST

SUPRISE ARTIST

shadu92

New Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
4
Reaction score
4
Hii imenifurahisha sana,,, ila hii tabia ya kuuingilia show za watu ambazo zimepangwa officially,,kwa msanii haileti picha nzuri maana anajiundermine yani,,,kwa nini wasimwandalie show na yeye,,,mbali na hapo Alikiba n msanii mkubwa sana kukubali kutumika anakosea sana!!
 
Kivipi yani?
Mpaka mtu anapanda jukwaani kufanya show inamaanisha walioandaa wanajua wanachofanya.
Alafu Kiba kupanda jukwaa moja na Diamond Mombasa kila mtu alikua anajua kasoro wewe na meneja wa diamond walio-panic.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom