magufuliforpresident
Senior Member
- Aug 18, 2015
- 159
- 59
SUPPRESSION OF DISSENT occurs when an individual who is more powerful than another tries to directly or indirectly censor, persecute or otherwise oppress the other party, rather than engage with and constructively respond to or accommodate the other party's arguments or viewpoint. When dissent is perceived as a threat, action may be taken to prevent continuing dissent or penalize dissents.
Tafsir ya maneno ya hapo juu ni hii;
UKANDAMIZAJI WA UPINZANI hutokea wakati mtu ambaye ana nguvu zaidi ya wenzie anapojaribu moja kwa moja ama kwa namna yeyote ile kuwadhibiti, kuwatesa au kuwaonea wengine, badala ya kushirikiana/kujihusisha nao katika kuboresha ama kujibu hoja au mitazamo ya wenzake hao. Jambo hili hufanyika ikiwa huyu mmoja anaona wale wengine ni tishio, huchukua hatua za kuwazuia wenzake ama kuwashurutisha na kuwaondoa.
KUTOKANA na picha ya hapo juu;
Kutoka kulia;
Hamad Mussa Yusuph (mwenye kombati nyeusi "Msaliti") - Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA znz ambaye kwa sasa ni mgombea mwenza wa ACT Wazalendo.
Aikaeli Freeman Mbowe (SHUJAA) - M/kiti wa CHADEMA wa wakati huo na wa sasa.
Wa katikati, Peter Wilbrord Slaa (Msaliti) - Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, kwa sasa ni Mwanaharakati asiye na chama.
Mwenye fulana ya M4C, Said Arfi (Msaliti) - Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara ambaye kwa sasa ni Mwanachama wa CCM.
Wa mwisho aliyevaa Kombati, Zubeir Zitto Kabwe (Msaliti) - Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo.