Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Wakawaambie:
Wahisani: Nyie siku ile mulijifanya kutoka nje ya ukumbi wakati Mkwere anahutubia bunge.........Why?
Chadema: Alichakachua kura za wananchi. Ni Rais batili.
Wahisani: Leteni ushahidi. Hatutaki viduku hapa.
Chadema: Huu hapa. Wanaweka mezani. Assume ushahidi wenyewe ukawa full ukweli
Itakuwaje???
Mkwere lazima awaite Chadema wayamalize kabla hatujafika huko.
Pole mkwere. Una kazi ku-deal na watu walioenda skuli.
Hizo ni ndoto , refer kwenye katiba na wenyewe hawawezi kufanya hivyo kwani sio wajinga kiasi hicho. Jipangeni tu 2015 bana
Siyo lazima wafanyie Tz.
Wanaweza kuitwa huko huko kwenye nchi za wahisani.
Nauli zipo. Wala hatuhitaji huruma ya CCM kupata nauli ya kwenda anakokwendaga Mkwere kutembeza bakuli la kuomba mpunga.
Itakuwa jambo la mbolea wakubwa wakajua ili wajue misaada inakwenda kwenye mfuko uliotoboka.
No wonder walipunguza fungu kwa the existing budget!
Donors wakikomaa CCM watatia akili hasa NEC in particular na raisi wao
Itakuwa jambo la mbolea wakubwa wakajua ili wajue misaada inakwenda kwenye mfuko uliotoboka.
No wonder walipunguza fungu kwa the existing budget!
Donors wakikomaa CCM watatia akili hasa NEC in particular na raisi wao
Hizo ni ndoto , refer kwenye katiba na wenyewe hawawezi kufanya hivyo kwani sio wajinga kiasi hicho. Jipangeni tu 2015 bana
Uchaguzi umekwisha, yaliyotokea yametokea , tugange tulijenge taifa bwana , wote tunakumbuka sakata la bush na al gore 200o, lakini nini kilitokea? Baadae al gore akampigia simu bush wakayamaliza na nchi ikasonga mbele, sijui sie tunawaza nini ?
hizo ni ndoto , refer kwenye katiba na wenyewe hawawezi kufanya hivyo kwani sio wajinga kiasi hicho. Jipangeni tu 2015 bana
Tatizo huwa tunapenda kupuuzia mambo na kusahau,unakumbuka EPA kupelekwa mahakamani ilikuwa shinikizo la wahisani.Hivi mnafikiri bajeti ya trilion 11 tutaifinance vip wakati mapato yetu hayazidi 5.4 trillion.Halafu anatudanganya eti sa hivi utegemezi wetu ni 28% sidhani kama kuna mwenye akili atakayemwelewa anafanya nini ikulu.Sasa hilo la haki ya uchaguzi lazima lije.
Natambua iko siku ndoto zenu feki za matokeo kubadilika zitaisha halafu sijui mtaanza kujadilinini.
na kwa nini member wengi mnamtambua mtu kwa ukabila, ninyi si mnapinga ukabila na udini, then why MKWERE?????????[/QUOTE]
Falsafa ya kutaja kabila la mtu ni utamaduni wetu watanzania kwa maana ya muingiliano na tamaduni za makabila yetu mengi kwamba kuna asili ya kutaniana. Hivyo unatakiwa usiwe na mawazo mgando kwamba ni ukabila. Kwa Tanzania Ukabila kwa sasa huna nafasi kubwa kama udini unavyoshika kasi kwa sasa.
Wakawaambie:
Wahisani: Nyie siku ile mulijifanya kutoka nje ya ukumbi wakati Mkwere anahutubia bunge.........Why?
Chadema: Alichakachua kura za wananchi. Ni Rais batili.
Wahisani: Leteni ushahidi. Hatutaki viduku hapa.
Chadema: Huu hapa. (Wanaweka mezani. Assume ushahidi wenyewe ukawa full ukweli)
Itakuwaje???
Mkwere lazima awaite Chadema wayamalize kabla hatujafika huko.
Pole mkwere. Una kazi ku-deal na watu walioenda skuli.
Kesi ya Bush na Al Gore haifanani na case ya Dr. SLAA-CHADEMA versus KIKWETE-CCM/NEC. Lazima uelewe hilo.
Katiba ya USA ni tofauti kwa mbali sana na Katiba ya Tanzania. CHADEMA tunataka KATIBA MPYA ITAKAYOWEZESHA KUUNDWA KWA TUME HURU YA UCHAGUZI-NEC. Siyo mtu anachakachua(anaiba)KURA na kuingia madarakani kwa kubebwa na NEC halafu aliyeibiwa KURA anaambiwa hana HAKI YA KUHOJI MATOKEO. That is DICTATORSHIP!
Tunataka KATIBA MPYA BEFORE 2015.