Support to President Kikwete SWise statement

Support to President Kikwete SWise statement

Tamko la Serikali ya Rwanda ni kama vile walikuwa na dukuduku la muda mrefu juu ya Tanzania au JK mwenyewe...binafsi nahisi limeficha kitu nyuma yake
'Kabisa! na ukiona maneno yao yamefanana fananana na yale ya M23. Sio bure...
 
'Kabisa! na ukiona maneno yao yamefanana fananana na yale ya M23. Sio bure...

Tumejifunza hivi: Lililo moyo lipo mdomoni " Yaani walishindwa kuvumilia au hata kufikiria kidogo mazuri ya Tanzania "
Haya yaonyesha na kuna tafsiri nyingi zikadiriwe sasa Onwards.
 
NInavo hisi mimi hii ni retaliation ya Rwanda kwa Tanzania baada ya Tanzania kuchukua uongozi katika kujaribu kurudisha amani mashariki mwa Congo. For a long time the leaddership in the talks was either Rwanda or Uganda but since the peace protocol of Adis in Feb Tanzania imeonesha leadership mpya ambayo ipo unbiased na inakubalika kimataifa, inakubalika pia na wananchi husika (Congolese).
From the mission lazima TZ will unearth scandals nyingi zinazoonesha wazi wazi implication ya Rwanda katika vita ya Congo. It could be an anticipative move to undermine TZ credibility ili watakapo toa report zao na kusema kua kuna mkono wa Rwanda in the Congo wenyewe waseme: kwanza TZ hawatupendi, toka mwanzo ni genocide sympathisers.

MWALI,
Ni kweli WanyaRwanda wanaona Tanzania inaingilia maslahi yao mashariki mwa DRC. Ifahamike kuwa mpango wa Rwanda mashariki mwa DRC ni kuona kabila la watutsi ambao ni wanyarwanda wanapewa mamlaka kamili ikiwezekana ile nchi imegwe na iibuke nchi nyingine ya watutsi. Hapa pia tusimuweke mbali M7 kwani kabila la wanyankole linamafungamano ya karibu na watutsi. Pia tufahamu kwamba Paul Kagame alikuwa Chief Intelligent Officer wakati M7 anawania madaraka kwa njia ya vita. Majeshi ya M7 pia yalimsaidia Kagame kuungasha utawala wa Hayati Habyarimana na vilevile akina Jenerali Bisimwa na baadhi ya Askari wa M23 walipigana bega kwa bega wakiisaidia RPF. Sasa hatuona ukweli huo kwamba kulipuka kwa wanyarwanda kufuatia pendekezo la kusaka amani la Mhe. JK litaua mipango yao ya kuinyakua east DRC? vilevile uchumi wa Rwanda unasifika kukua kwani Rwanda ana maliasili ipi kama si kuiba mali asili za DRC??

Lingine ambalo mtu anaweza kujiuliza, Rwanda ilikuwa na Programu ya maridhiano na upatanisho ili kumaliza uhasama kati ya wahutu na watutsi na wanyarwanda wenyewe wanadai imewasaidia, sasa kama imewasaidia wanataka kuwafanya nini hao FDLR? kwani wao sio wanyarwanda kwa nini wasikae pamoja na kumaliza tofauti zao? tatizo la watutsi wanataka kuona hao wahutu wa FDLR wanaondolewa kwenye uso wa Dunia, haya nayo ni sawa na mauaji ya kimbari
 
WaTanzania kwa ujumla tutafakari hii:-
In the time of crisis I was not hurt by the harsh words om my enemies, But by the silence of my friends (countrymen) !

Tusimame pamoja.
 
Natural way of resolving all human conflicts is via dialogue! Anyone that advocate it would be my friend regardless of political,ideological differences.
This is underscored by the Holy God Almighty creation of human, with the 2nd most prominent front part being the mouth! One may say, it is just a loud speaker for the brain, well, I agree, but its prominent position stresses its importance. Even the God Almighty himself used the mouth to create everything we enjoy today....let it be....!
Unfortunately human under-utilized this most important organ of the body in conflict resolution and would rather find something that is completely not related to the body, fabricated deadly weaponry, in an effort to wiping life that they can't re-mend! In my opinion, dialogue must be given a chance! You just cant wipe all that opposes you!
Kagame refrain yourself from your bloodthirst strategies simply b'se you are on the other size. Those, whom u are busy hunting are human being, if you listen to them, you could save a lot of lives and resources!
 
Kagame na washauri wake nashauri wakapimwe akili zao, alivyosikia majeshi ya Tanzania,Malawi na South Africa yanakwenda Goma kulinda amani alikuwa wa kwanza kushauri wasifanye hivyo badala yake Serikali ya Kinshasa ya Kabila iingia kwenye mazungumzo na waasi wa M23 kutafuta suluhu. Sasa leo wao wanaambiwa hivyo hivyo na JK wanapandisha hasira, are they mentally fit?
 
Back
Top Bottom