Support to President Kikwete SWise statement

Support to President Kikwete SWise statement

Mwali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
7,012
Reaction score
5,613
[h=1]OPEN LETTER OF SUPPORT TO PRESIDENT KIKWETE’S WISE STATEMENT ON RWANDA’S FDLR[/h]May 30, 2013 by Rwema IT Webmaster Leave a Comment
The Rwandan dream youth backs President Kikwete’s idea with fully support
Tanzanian President Jakaya Kikwete, urged the Governments in the great lakes region to work together and end the war which has been going on for nearly 20 years, President Kikwete stressed that the only way out of that situation the region is facing was to speak to the rebels. This has caused different versions and the war of words between Rwanda and Tanzania however The Rwandan Dream Youth welcomed the idea of Mr Kikwete contrarily to the Rwandan Government.
Enclosed is the letter to the secretary General Ban Ki Moon from the Rwandan dream youth in support of President Kikwete’s idea.
UN Secretary General
Ban Ki-moon
United Nations
New York, NY 10017 USA
212-963-5012fax: 212-963-7055
Email: ecu@un.org

May 29, 2013

RE: OPEN LETTER OF SUPPORT TO PRESIDENT KIKWETE’S WISE STATEMENT ON RWANDA’S FDLR AT 50TH ANNIVERSARY OF AFRICAN UNITY, ADDIS ABABA
On May 26, at the AU summit in Addis Ababa, Tanzania’s President Jakaya Kikwete made a statement that will go down in history as the wisest ever. Speaking during the meeting for the parties concerned by the regional Peace Security and Cooperation Framework for the Democratic Republic of Congo, President Kikwete urged local Governments to address issues they have with armed opponents, including the Rwanda’s FDLR based in Congo.
We, The Rwandan Dream Youth Worldwide, wish to ask the UN to support Hon. Kikwete’s statement and call for negotiations between the Rwandan Government and the FDLR in order to put an end to the sufferance caused by two decades conflict.
Since it came to power in the wake of the 1994 genocide, Paul Kagame’s Government focused on wiping out the Hutu rebels who desperately took up arms after the massacre of hundreds of thousands of refugees by the Rwandan army in the forests of Congo. We have to make it clear that the settlement of the FDLR issue is an absolute prerequisite to secure stability in the East of Congo.
In order to achieve and sustain peaceful cohabitation between DRC and Rwanda, it is crucial to address once for all the issue of the Rwandan refugees who are still on Congo’s soil. The troubling fact is that the Rwandan Government is enthusiast to the cause of Kinyarwanda speaking Tutsi Congolese claiming to be excluded in their own country while the same government keeps ignoring the issue of Rwandan refugees who have spent decades in wretched conditions in DRC.
Thousands of Rwandan refugees are reluctant to return due to political intolerance prevailing in the country. Opposition politicians, human rights activists and journalists are permanently in danger of being murdered, put in jail or forced to exile.
In our opinion, it is not possible to address Congo’s M23 issue and ignore Rwanda’s FDLR issue. We are convinced that Hon. Kikwete’s statement could be a stepping-stone to a stronger commitment from all the stakeholders. Tanzania has always been part of all processes meant to bring peace, justice and democracy to Rwanda, that is why we urge the UN to consider talks between Rwandans hosted by Tanzania.

Faithfully.
The Rwandan Dream Youth
Cc

  • Office of the United Nations High Commissioner for Human Rights (OHCHR)
  • EAC Heads of States
  • The President of the United States of America
  • The African Union
  • East African Legislative Assembly (EALA)
  • All Embassies Accredited to Rwanda
  • The National Assembly of Tanzania
  • The Rwanda Civil Society Platform
  • Ibuka

kikwete mnafiki, wote ni wale wale, wanasema nyani haoni kundule, mbona serikali ya ccm inua watu na inabambika kesi watu, haki iko wapi?? ni bora kikwete anyamaze kwenye majukwaa ya kimataifa, hata yeye si msafi hata kidogo,
 
Mbona yeye dialogue na wamachinga imemshinda na ameamua kutumia mtutu wa bunduki kuhalalisha utekelezaji wa mikataba yake na wachina!! Je atahitaji askari wangapi kulilinda hilo bomba kutoka Mtwara mpaka Bagamoyo?? He has no moral authority to advocate the use of dialogue as a tool to end disputes!!!
 
Hapa kwa kweli siungi mkono wazo la kuwaomba radhi wanyarwanda, sioni ubaya wowote wa kauli ya Kikwete nadhani wana chuki na Tanzania.
 
Acha kufananisha madodoki na matango.
 
Mbona yeye dialogue na wamachinga imemshinda na ameamua kutumia mtutu wa bunduki kuhalalisha utekelezaji wa mikataba yake na wachina!! Je atahitaji askari wangapi kulilinda hilo bomba kutoka Mtwara mpaka Bagamoyo?? He has no moral authority to advocate the use of dialogue as a tool to end disputes!!!
Actually haya ni mambo ya ndani ambayo yanatukera hata sisi, lakini kuunga mkono taifa la nje kutudharau sio uzalendo.
 
kikwete mnafiki, wote ni wale wale, wanasema nyani haoni kundule, mbona serikali ya ccm inua watu na inabambika kesi watu, haki iko wapi?? ni bora kikwete anyamaze kwenye majukwaa ya kimataifa, hata yeye si msafi hata kidogo,
Mkuu vipi, Umepata kigugumizi? Nasikitika we kujiita mLiberal halafu hujui siasa.... Pole !! FYI Rais JK. nasema kwa ufahari wote kuwa ni Rijali na Mkweli, Katoa ufumbuzi wa suluhisho la Wanyaruwanda wote bila kuogopa wala kuelemea
upande mmoja. Hapo siye kwanza tunamuunga mkono na BRAVO for that, Pili Matafia yote yameridhika kuona msimamo wa Tanzania ulivyo. kwani wanajua machafuko yakiendelea huko yatatapaka na kufika kwetu na kwa jirani wote.

Tatizo wengi humu nchini mnachanganya ya ndani na ya nje katika chungu kimoja. tafakari na uchakachue ukweli.
tupo pamoja kwa heshima ya nchi hii.
 
Hapa kwa kweli siungi mkono wazo la kuwaomba radhi wanyarwanda, sioni ubaya wowote wa kauli ya Kikwete nadhani wana chuki na Tanzania.
Wanyarwanda wenyewe wanamsupport, ndio iwe watanzania?
Hivi kati ya anae promote dialogue na anae promote vita
nani anatakiwa kuonea position yake aibu? hii yote propaganda
wanyarwanda wengi sana wameona alio sema kikwete ni sahihi
 
Bora madodoki na matango, hata mtu mwenye akili timamu anaweza akachanganya
huyu anafananisha tambi na mboga majani, mwanamuziki yondo na marijani #DogoMfaume

Huyu kiongozi wenu kama yamemshinada ya nyumbani kwake ya huko nje atayaweza? Acheni unafiki hizo njaa zenu zinawapeleka kubaya!! Mtu wenu yuko uchi lakini kwa unafiki mnamwambia amevaa nguo? Wanyarwanda wanawajua waTanzania hivyo wanayachukulia maneno yake kama yake yeye mwenyewe na familia yake kwani URAIS Tanzania ameufanya kuwa kitu cha kifamilia na sio cha nchi na ndio maana hashauriki!!!!
 
Huyu kiongozi wenu kama yamemshinada ya nyumbani kwake ya huko nje atayaweza? Acheni unafiki hizo njaa zenu zinawapeleka kubaya!! Mtu wenu yuko uchi lakini kwa unafiki mnamwambia amevaa nguo?
uchi gani? Mtu kusema kua migogoro na vita vitaisha watu wakikaa na kuongea kila mtu kwao ni kosa?
 
Mkuu vipi, Umepata kigugumizi? Nasikitika we kujiita mLiberal halafu hujui siasa.... Pole !! FYI Rais JK. nasema kwa ufahari wote kuwa ni Rijali na Mkweli, Katoa ufumbuzi wa suluhisho la Wanyaruwanda wote bila kuogopa wala kuelemea
upande mmoja. Hapo siye kwanza tunamuunga mkono na BRAVO for that, Pili Matafia yote yameridhika kuona msimamo wa Tanzania ulivyo. kwani wanajua machafuko yakiendelea huko yatatapaka na kufika kwetu na kwa jirani wote.

Tatizo wengi humu nchini mnachanganya ya ndani na ya nje katika chungu kimoja. tafakari na uchakachue ukweli.
tupo pamoja kwa heshima ya nchi hii.

Athari za ukimbinzi tunazijua hawa wanao leta hizi kejeli waambie waende Ngara na Biharamulo waangalie jinsi gani huumzigo tulio ubeba ulivyotutesa,sisi tunawabembeleza kama ndugu na jirani zetu kwasababu wanaopigana ni watoto wababa mmoja mama mmoja.Kwanza wangezingatia haya kwasababu kwa miaka takribani ishirini wamekulia katika aridhi hii ya Tanzania kusoma na kuelimika kupitia kwenye shule zetu hata movement zao nyingine hasa zilizo muweka huyo kagame madarakani zilianzia huku, ndomana Rais akawaambia imetosha tubadili muelekeo kufikia muafaka,wenyewe kwaroho zao mbaya kwa ndugu zao wadamu nikutaka kuuana..wakati mwingine tusilete UCCm na UChadema kwenye maswala ya kidiplomasia tusimame kama taifa la Tanzania
 
Wanyarwanda wenyewe wanamsupport, ndio iwe watanzania?
Hivi kati ya anae promote dialogue na anae promote vita
nani anatakiwa kuonea position yake aibu? hii yote propaganda
wanyarwanda wengi sana wameona alio sema kikwete ni sahihi
hivi haya matamko mbona siyaelewi? kuna tamko jingine la wahanga wa mauaji ya kimbari wamemponda sana JK... sasa wameibuka wengine tena wanamsifia?.... lakini hii ya kumsifia itakuwa imeandikwa hapahapa bongo tuache kudanganyana bana
 
uchi gani? Mtu kusema kua migogoro na vita vitaisha watu wakikaa na kuongea kila mtu kwao ni kosa?
Waheshimiwa nina wahakikishia hao WanyaRuwanda wanatafuta vibaraka wao hapa nchini na hayo ndiyo malengo yao
yatatimia, Kwani Hakuna sababu yeyote kuupinga mjadala huu. Pendekezo la Mheshimiwa rais JK siyo ishu wala BIG DEAL,
kwa kuwa marais wengi walishajitolea matamshi kama haya katika CRISIS nyingi na hususan matatizo ya RWANDA/CONGO/BURUNDI(Great Lakes region) hayo sii ya Ajabu.!! ukweli Laa ajabu humu nchini kuna kundi lataka kutelezea na kupitia mgongoni .... wapate kunyakuwa kitita cha kujikimu mbeleni. " ..... " Nafikiri mumeelewa wajuzi ukweli.
NB.
Mh.Rais TZ aliwapatanisha Wa kenya.nk
 
NInavo hisi mimi hii ni retaliation ya Rwanda kwa Tanzania baada ya Tanzania kuchukua uongozi katika kujaribu kurudisha amani mashariki mwa Congo. For a long time the leaddership in the talks was either Rwanda or Uganda but since the peace protocol of Adis in Feb Tanzania imeonesha leadership mpya ambayo ipo unbiased na inakubalika kimataifa, inakubalika pia na wananchi husika (Congolese).
From the mission lazima TZ will unearth scandals nyingi zinazoonesha wazi wazi implication ya Rwanda katika vita ya Congo. It could be an anticipative move to undermine TZ credibility ili watakapo toa report zao na kusema kua kuna mkono wa Rwanda in the Congo wenyewe waseme: kwanza TZ hawatupendi, toka mwanzo ni genocide sympathisers.
 
Jamaa ni mnafiki hakuna lolote!
Mkuu Matusi ya nini..... chambua utaelewa kusudio la Ruwanda hao wanyaRu hawatutakii heri wana yao.
Kwa sababu Marais wengi walisha jaribu kuwasaidia kupatanisha hawataki wakapuuza.Lakini alivyo Tamka rais wetu
Wakajidai kufoka na kujifaraguwa!! huoni wanataka kujiingiza na kununua Shari kwa kujihusisha na uchochezi ndani mwetu.? Wenzio wanataka musapoti ili muwe wahenga wao.
 
Tamko la Serikali ya Rwanda ni kama vile walikuwa na dukuduku la muda mrefu juu ya Tanzania au JK mwenyewe...binafsi nahisi limeficha kitu nyuma yake
 
NInavo hisi mimi hii ni retaliation ya Rwanda kwa Tanzania baada ya Tanzania kuchukua uongozi katika kujaribu kurudisha amani mashariki mwa Congo. For a long time the leaddership in the talks was either Rwanda or Uganda but since the peace protocol of Adis in Feb Tanzania imeonesha leadership mpya ambayo ipo unbiased na inakubalika kimataifa, inakubalika pia na wananchi husika (Congolese).
From the mission lazima TZ will unearth scandals nyingi zinazoonesha wazi wazi implication ya Rwanda katika vita ya Congo. It could be an anticipative move to undermine TZ credibility ili watakapo toa report zao na kusema kua kuna mkono wa Rwanda in the Congo wenyewe waseme: kwanza TZ hawatupendi, toka mwanzo ni genocide sympathisers.
That is TRUE.
 
Back
Top Bottom