supplies officer/procurement oficer

babue

Member
Dec 8, 2011
8
1
wana jf,naombeni ushauri/msaada wenu nna degree procurement+cpsp but mpaka sasa hivi sijapata ajira ya kudumu,niliajiriwa kwa mkataba kampuni moja ya serikali wakaniahihidi kibali kikitoka wataniajiri permanent,mh lakini kibali cha ajira kilipotoka secratariat ajira wakasema wao ndo wanatakiwa wafanye hiyo kazi,so ofice hawakuweza kuniajiri tena.sa hivi mwaka wa tano wameniajiri kw mkataba nami nataka ajira ya kudumu nifanyeje????na wakati secretariat ya ajira washaleta watu wao?? na nimejaribu kuaplyy sehemu nyingine cjafanikiwa msaada wenu wana jf
 
  • Thanks
Reactions: hen
Sasa si ulitakiwa uombe nafasi zinapotangazwa au kupata mkataba wa muda ndio umeshaona na hati miliki ya hiyo post?
 
Bora wewe una hata hiyo ya mkataba,wenzio tupo kitaa hata hatujui kesho itakuaje,ni mtizamo tu:A S cry:
 
mwezi watisa jwtz watatangaza nafasi za ajira kwa watu wenye profesheno mbalimbali so changamkia huko jwtz ukipata huko unakula nyota mbilifasta(luteni) mshahara na marupurupu tsh1,500,000/-
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom