Supplier wa Samaki toka Mwanza anahitajika

Said Bagaile

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
686
Reaction score
256
Ndugu Wanabodi,

Kama kuna yeyote miongoni mwenu anayefanya biashara ya samaki aina ya SATO na SANGARA wa jumla kwa ajili ya Wafanyabiashara wa rejareja wenye viosks hapa Dar, tafadhali ani-PM.

NB:
Nina uwezo wa kuchukua kuanzia Tani moja kwa wiki.

Naomba kuwakilisha.
 
Haya tena wale waliokuwa wana mitaji wakawa wanauliza biashara ya kufanya, fursa safi hii hapa.
 
Ndugu Wanabodi,

Kama kuna yeyote miongoni mwenu anayefanya biashara ya samaki aina ya SATO na SANGARA wa jumla kwa ajili ya Wafanyabiashara wa rejareja wenye viosks hapa Dar, tafadhali ani-PM.

NB:
Nina uwezo wa kuchukua kuanzia Tani moja kwa wiki.

Naomba kuwakilisha.

Kuna jamaa yangu mmoja anafanya biashara hiyo, anasafirisha kwenda mikoani , kama upo serious weka contact zako
hapa jamvini, nitakuunganisha na jamaa sasa hv, kazi kwako, mzigo unapatikana na kila siku jamaa anasupply mikoani,
nipigie kwa namba 0786790570.
 
Kama uko Dar kwa kilo utanunua shs ngapi SATO kwa jumla
 
Hivi anayepanga bei ni Mnunuzi au Muuzaji?...wewe kama una samaki sema unauza bei gani, au unaangalia ustaarabu wa kuwa dalali?
 
Hivi anayetakiwa kuniuliza hili swali ni anayehitaji samaki au mpita njia tu?
 
Hivi anayetakiwa kumsaidia mwana JF mwenzake asiingizwe mkenge ni mpaka ndugu au hata rafiki?
 
Sasa hapo mkenge ataingiaje? jamaa anataka tani moja kwa wiki, ni dhahiri s rahisi kupata mzigo huo wote toka kwa supplier mmoja. Hii ni fursa unaweza kuifanya hata wewe hata kama hujihusishi na biashara hiyo lakini demand inapojitokeza watu wanawekeza. Kwahiyo sioni ubaya wa jamaa na amekujibu vizuri tu.

Back to topic, mleta maada funguka bei ya jumla kwako ndiyo bei gani? weka pia simu yako.

Back
Top Bottom