0713972155 mcheki huyu jamaaNdugu zangu, kwanza habarini sa siku ya leo?
Naomba msaada wenu kwa mwenye kumjua supplier/fundi mzuri wa Aluminium windows anitumie contact zake hapa katika posti hii.
Na kama wewe mwenyewe ni fundi, nitumie reference/picha za kazi yako humu humu JF ili wengi wafaidike.
Pia kama itawezekana price estimate per SqMtr- Site ipo Dar es Salaam.
Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote mtakaoitikia ombi hili
Ndugu zangu, kwanza habarini sa siku ya leo?
Naomba msaada wenu kwa mwenye kumjua supplier/fundi mzuri wa Aluminium windows anitumie contact zake hapa katika posti hii.
Na kama wewe mwenyewe ni fundi, nitumie reference/picha za kazi yako humu humu JF ili wengi wafaidike.
Pia kama itawezekana price estimate per SqMtr- Site ipo Dar es Salaam.
Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote mtakaoitikia ombi hili
Mkuu itakuwa mtu aliyekuwekea wavu ni mbaya au hakukuwekea raba ya kuziba nafasi na hii ni tabia ya mafundi wengi wanafanya hivyo kumaximize profitHivi mnafanyaje kuzuia mbu wasiingie kwenye alminium windows...hii kwangu imekuwa issue natamani kutumia zaidi PVA...maana alminium kila ikifika jioni ni kufunga na kufungua otherwise mbu watajaa ndani, mafundi wanisadie kwenye hili
Mcheki huyu jamaa anaitwa Chotamasege yupo kinondoni Biafra.Ndugu zangu, kwanza habarini sa siku ya leo?
Naomba msaada wenu kwa mwenye kumjua supplier/fundi mzuri wa Aluminium windows anitumie contact zake hapa katika posti hii.
Na kama wewe mwenyewe ni fundi, nitumie reference/picha za kazi yako humu humu JF ili wengi wafaidike.
Pia kama itawezekana price estimate per SqMtr- Site ipo Dar es Salaam.
Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote mtakaoitikia ombi hili
Wewe utakuwa na tatizo la uelewa, dirisha la Aluminum vioo vinakuwa viwili na la nyavu moja, labda unashindwa kujiongeza kwenye kuslide.Hivi mnafanyaje kuzuia mbu wasiingie kwenye alminium windows...hii kwangu imekuwa issue natamani kutumia zaidi PVA...maana alminium kila ikifika jioni ni kufunga na kufungua otherwise mbu watajaa ndani, mafundi wanisadie kwenye hili
Kuna wavu maalum mkuuHivi mnafanyaje kuzuia mbu wasiingie kwenye alminium windows...hii kwangu imekuwa issue natamani kutumia zaidi PVA...maana alminium kila ikifika jioni ni kufunga na kufungua otherwise mbu watajaa ndani, mafundi wanisadie kwenye hili
Wewe utakuwa na tatizo la uelewa, dirisha la Aluminum vioo vinakuwa viwili na la nyavu moja, labda unashindwa kujiongeza kwenye kuslide.
Pia tunaweza kukurekebishia hilo tatizo la nyavuHivi mnafanyaje kuzuia mbu wasiingie kwenye alminium windows...hii kwangu imekuwa issue natamani kutumia zaidi PVA...maana alminium kila ikifika jioni ni kufunga na kufungua otherwise mbu watajaa ndani, mafundi wanisadie kwenye hili
Mafundi wengi wanasahau kuweka rubber inayoziba gap kati ya dirisha la nyavu na kioo. Inawezekana pia wanafanya makusudi kuongeza faida.Wewe utakuwa na tatizo la uelewa, dirisha la Aluminum vioo vinakuwa viwili na la nyavu moja, labda unashindwa kujiongeza kwenye kuslide.