Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,686
- 5,142
Hongera kwa kusimamia unachokiamini.NIMENG'ATUKA ACT WAZALENDO-SUPHIAN.
Najua wengi mmeumia sana. Mmestaajabishwa mno na maamuzi ya Chama changu cha ACT wazalendo kukubali kuungana na Serikali ya Magufuli na Mwinyi tuliyoitangazia dunia imeunajisi Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020.
Kitendo cha Chama kukubali kupeleka jina la Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, na kuridhia kuapishwa wabunge wake; naelewa na naona wengi wananchi wenzangu si tu kimewakasirisha kupitiliza ila bali pia kimewatolea imani katika kuwaamini wanasiasa na vyama vya upinzani nchini.
Wengi tangu Jana Desemba 06, 2020 Chama kilipotangaza uamuzi wake huo kupitia Katibu Mkuu, rafiki yangu Ado Shaibu mmeendelea kuniuliza msimamo wangu mtandaoni, kwa simu hadi ana kwa ana kwa kuzingatia mimi kama mwanachama na Mtanzania ninayependa na kuheshimu Haki za Binadamu na Demokrasia, hivyo hakika nasema hampo peke yenu, Masikitiko yenu Watanzania wenzangu ni masikitiko yangu pia.
Uchaguzi ulikuwa batili, uongozi uliopatikana na unaoendelea kupatikana na uchaguzi huu ni batili pia. Haramu haijawahi kuwa halali. SIMPLE MATHEMATICS.
Kwangu mimi Suphian, ndoto yangu kuu ya kuona Taifa langu huru na lenye kufuata misingi ya Haki ni Lulu zaidi ya maslahi ya Chama cha siasa nilipo au yeyote ninayemwamini katika Siasa au nje ya siasa.
Kama nilivyoahidi wakati wa Sakata la Wabunge 19 wa CHADEMA, kwamba siwezi kumumunya maneno pale haki ikipindishwa hata kama na Chama changu, hivyo NATANGAZA: SIUNGI MKONO MAAMUZI YA CHAMA CHANGU.
Hivyo naomba dunia ijue kuanzia Leo Desemba 07, 2020 mimi Suphian Juma Nkuwi rasmi NANG'ATUKA UANACHAMA wa ACT wazalendo ili kusimama na HAKI, kusimama na familia za ndugu waliouawa, kutekwa, kufungwa na kuumizwa wakipigania Uchaguzi Huru, Haki na unaoaminika.
Asante Kiongozi wa ACT wazalendo na Kaka yangu, Zitto Kabwe na Chama kwa ujumla kwa malezi yenu ya KUSIMAMA NA HAKI mliyonipatia tangu mwaka 2015 nilipojiunga nanyi, nawatakia kila kheri.
Suphian Juma,
Aliyekuwa Mgombea Ubunge, ACT wazalendo 2020-2025 Singida Magharibi.
Desemba 07, 2020.
Wewe ndiye una ushawishi?Suphian hana ushawishi wowote Jiwe hawezi poteza muda kwa huyo dogo
Suphian hana ushawishi wowote Jiwe hawezi poteza muda kwa huyo dogo
Unafikiri ni sababu zipi zimefanya hilo kundi kubwa la wabunge likosekane?Upo sahihi
Ila hata uchaguzi wa 2015 walikuja na ngonjera kama hizo na hatimaye walikwenda bungeni kuapishwa.
Tofauti kubwa aliojiktokeza kwa mwaka huu ni kukosekana kwa kundi kubwa la wabunge tu.
Edward Lowassa apinga matokeo ya uchaguzi
Mgombea wa urais nchini Tanzania kwa tiketi ya UKAWA, Edward Lowassa, amesema yeye ndiye aliyeshinda urais na si mpinzani wake wa Chama cha Mapinduzi CCM, John Magufuli.www.dw.com
Wabunge 117+ wa upinzani.... Yes waliibiwa kura lakini walau kuna sizeable chunk ya kuendeleza harakati.Upo sahihi
Ila hata uchaguzi wa 2015 walikuja na ngonjera kama hizo na hatimaye walikwenda bungeni kuapishwa.
Tofauti kubwa aliojiktokeza kwa mwaka huu ni kukosekana kwa kundi kubwa la wabunge tu.
Edward Lowassa apinga matokeo ya uchaguzi
Mgombea wa urais nchini Tanzania kwa tiketi ya UKAWA, Edward Lowassa, amesema yeye ndiye aliyeshinda urais na si mpinzani wake wa Chama cha Mapinduzi CCM, John Magufuli.www.dw.com
Mwaka 2016 halikua la kikatiba? Mbona ni optional wapi wamesema ni mandatory? Kwani uchaguzi huru na haki haipo kikatiba? Viti maalum haipo kikatiba? Mbona CHADEMA walivigomea?Upeo wako katika siasa ni mdogo saaaana! Suala la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ni suala la Katiba ya Zanzibar! Wewe kafanye kazi ya urembo huna mwonekano wa kisiasa ndani ya kichwa chako na hata mwonekano wa mwili wako.
Tofauti ni magnitude ya wizi haijawahi tokea upinzani upate madiwani 8 nchi nzima na ipate mitaa 10 tu nchi nzima na kuambulia majimbo mawili bara.Halima aliuliza "Hatukuukubali uchaguzi wa 2010, wa 2015 lakini tuliingia bungeni. Nini cha tofauti 2020?
Si unajua JIWE mtu wa kuingizwa CHAKA ,watu washakaa mezani na Dogo atapewa SHAVU tu.
Ameondoka ACT, that's the point. Hawana Mbunge, hawana Diwani, hata mmoja, hawana vitimaalum, hawana ruzuku. Zanzibar wanao watatu tu kwa hiyo watakula nini bila kutegemea Waarabu? Hiyo ya kujiunga au kutojiunga CCM ni janjanjanja tu sitegemei hata kama CCM watamchukua.Ngoja tuone ila dogo kaanza kurusha madongo upinzani mapema hana stamala kabisa na baada ya jiwe kuondoka mamluki wengi watafukuzwa CCM sio mbali ni 2025-26 hapo.
NIMENG'ATUKA ACT WAZALENDO-SUPHIAN.
Najua wengi mmeumia sana. Mmestaajabishwa mno na maamuzi ya Chama changu cha ACT wazalendo kukubali kuungana na Serikali ya Magufuli na Mwinyi tuliyoitangazia dunia imeunajisi Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020.
Kitendo cha Chama kukubali kupeleka jina la Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, na kuridhia kuapishwa wabunge wake; naelewa na naona wengi wananchi wenzangu si tu kimewakasirisha kupitiliza ila bali pia kimewatolea imani katika kuwaamini wanasiasa na vyama vya upinzani nchini.
Wengi tangu Jana Desemba 06, 2020 Chama kilipotangaza uamuzi wake huo kupitia Katibu Mkuu, rafiki yangu Ado Shaibu mmeendelea kuniuliza msimamo wangu mtandaoni, kwa simu hadi ana kwa ana kwa kuzingatia mimi kama mwanachama na Mtanzania ninayependa na kuheshimu Haki za Binadamu na Demokrasia, hivyo hakika nasema hampo peke yenu, Masikitiko yenu Watanzania wenzangu ni masikitiko yangu pia.
Uchaguzi ulikuwa batili, uongozi uliopatikana na unaoendelea kupatikana na uchaguzi huu ni batili pia. Haramu haijawahi kuwa halali. SIMPLE MATHEMATICS.
Kwangu mimi Suphian, ndoto yangu kuu ya kuona Taifa langu huru na lenye kufuata misingi ya Haki ni Lulu zaidi ya maslahi ya Chama cha siasa nilipo au yeyote ninayemwamini katika Siasa au nje ya siasa.
Kama nilivyoahidi wakati wa Sakata la Wabunge 19 wa CHADEMA, kwamba siwezi kumumunya maneno pale haki ikipindishwa hata kama na Chama changu, hivyo NATANGAZA: SIUNGI MKONO MAAMUZI YA CHAMA CHANGU.
Hivyo naomba dunia ijue kuanzia Leo Desemba 07, 2020 mimi Suphian Juma Nkuwi rasmi NANG'ATUKA UANACHAMA wa ACT wazalendo ili kusimama na HAKI, kusimama na familia za ndugu waliouawa, kutekwa, kufungwa na kuumizwa wakipigania Uchaguzi Huru, Haki na unaoaminika.
Asante Kiongozi wa ACT wazalendo na Kaka yangu, Zitto Kabwe na Chama kwa ujumla kwa malezi yenu ya KUSIMAMA NA HAKI mliyonipatia tangu mwaka 2015 nilipojiunga nanyi, nawatakia kila kheri.
Suphian Juma,
Aliyekuwa Mgombea Ubunge, ACT wazalendo 2020-2025 Singida Magharibi.
Desemba 07, 2020.
AiseeItabidi wadau humu mum tag mwana ππ
Ova
Skuizi msigwa amekosa adabu sana, yaani haitendei kabisa haki tasnia ya habariSuphian Juma shoga kutokana na maelezo ya msigwa
huyo huyoππππNdo huyu anayesema na msigwa?