Superdoll, s.s bakhresa group, metl, etc

Wabongo ni wabunifu sana kwa kuiba....

Kila saa wanawaza michongo ya kuiba...

Hata mm nitaogopa kuwaajiri
 
  • Thanks
Reactions: KVM
Wanaajiri wahindi kisha wanawanyang'anya passports na wanawatumikisha kama punda,wakikosea wanawachapa kwelikweli,wanahofia professionals weusi hawawezi kuwacontrol na kuwachapa.
Nina mfano wa mdosi mmoja anamiliki viwanda vya samaki lakezone huwa anawapiga kupita kiasi hao wahindi wenzie aliowaajiri na hawawezi fungua midomo yao coz hata passports zao anazo.
 
Wabongo ni wabunifu sana kwa kuiba....

Kila saa wanawaza michongo ya kuiba...

Hata mm nitaogopa kuwaajiri

Mimi ni Mtanzania, tena mweusi sana, lakini kwa kweli kabisa kumwajiri Mtanzania kwenye sehemu nyeti za kampuni yangu sitaweza. Watanzania wengi kila wakati wanafikiria namna ya kukuibia hata kama utamlipa mshahara mkubwa au kumsaidia vipi. Hilo ni tatizo kubwa katika jamii yetu na limeibuka miaka ya karibuni katika nchi yetu - kuanzia miaka ya 80 hivi.
 
Habari wanabodi,

Nimefanya ka uchunguzi ka haraka haraka nikagundua kuna hizi kampuni ambazo zimebobea kuajiri wageni kwenye nafasi nyeti especially za uhasibu na general administration mojawapo ni Superdoll, Bakhresa Group, Quality Group, Mohamed Enterpises etc hapa nimetaja chache. Kampuni hizi zinamilikiwa na wazalendo sasa inakuwaje wanaleta nyomi kutoka India kupiga kazi wakati vijana wapo mitaani wanakufa njaa? Bakhresa, Manji, Nassor , Dewji kwani hamna mswahili mzalendo mwenye CPA , ACCA anayeweza kuwa Financial Controller hapo hadi ukakokote wahindi kutoka India? Kama tatizo experience si muweke waswahili chini yao wajifunze halafu wakishajua mnaondoa hao wajamaa.

Mbona hawa wenzetu wanakosa uzalendo? Kama wahindi wanaweza sana kuongoza si wahamishe na hizi biashara zao ziende huko India?

Hivi tatizo ni nini wana bodi ni kwamba watanzania hatuwezi hizi kazi? au tuna demand pesa nyingi? au ndio uzoefu? au kasumba tu!?

Mkuu nashukuru kwa uzi huu. mm kwa uchunguzi wangu na experience yangu nimeshawahi kufanya kazi na wahindi na sasa sitaki kabisa kufanya nao kazi kwa sababu ni watoaji wakubwa wa rushwa na watu wa black money . vilevile hawa ndo wanaofadhili ccm iendelee kubaki madarakani ili waitafune nchi vizuri . Nakumbuka kipindi cha 2010 kuna muhindi aliwapa nyinyiem magari aina mahindra ndo huyu huyu anayeleta trekta nchini 4 kilimo . jiulize mbona wengi ikifika uchaguzi wanasepa nchi hii?? huwa wanaogopa nn? . wanapokuja hapa TZ huwa hata vibali vya kazi hawana lakini kwa ufedhuli wa hili chama lililopo kuwaza matumbo yao ndo matokeo yake. haiingii akilini eti vijana hawana ajira tz alafu wahindi wanapeta tu tena wanafanya kazi za kawaida tu kama ulivyoorodhesha.
 
Wabongo wezi sana yaani Africa nzima niwezi 99.9% wanawaza kupiga dili.....
 
tatizo ni kwamba na sisi ngozi nyeusi tumezidi kuiba sana yaani tukiajiriwa tu cha kwanza ni kufikiria jinsi ya kupiga dili kwenye ofisi za wahindi na waarabu ndio maana hatuaaminiwi na ndio maana matabaka ya kazi yanatokea.
 
uhamiaji wamefeli.
mambo ya ndani wamefeli.
Takukuru wamefeli.
Mzalendo Namba moja amefeli.
waziri mkuu amefeli.
wizara ya viwanda wamefeli.
bunge limefeli.
tumlilie nani wakati wao na viongozi ni maswahiba
 
uhamiaji wamefeli.
mambo ya ndani wamefeli.
Takukuru wamefeli.
Mzalendo Namba moja amefeli.
waziri mkuu amefeli.
wizara ya viwanda wamefeli.
bunge limefeli.
tumlilie nani wakati wao na viongozi ni maswahiba
tumlilie raisi wetu
 
Wabongo wezi sana
Alafu pia wahindi ni wazuri sana kwa uhasibu wanapiga kazi kisawsawa ndio maana hata makampuni ya wazungu utakuta accountant muhindi.
 
Wabongo wezi sana
Alafu pia wahindi ni wazuri sana kwa uhasibu wanapiga kazi kisawsawa ndio maana hata makampuni ya wazungu utakuta accountant muhindi.
Upo sahihi wabongo uaminifu 0 ha2aridhiki na mshahara hatauwe mkubwa vip bila kuiba anaona kazi mbaya tu acheni wizi
 
Mkwere wakati wa utawala wake, kuna hotel alienda kufungua pale BAGAMOYO, akakuta wafanyakazi wengi RAIA WA KIGENI, akauliza kulikoni? Akaambiwa wabongo wengi vibaki na mahakamani kumejaa "wajomba zao"
 
Kuna A to Z ya Arusha mkuu, pale wamejaa Wahindi na wabangladeshi ....wabongo hata uwe na masters utalipwa basic lak na nusu gross laki tatu...yaan hawa jamaa hawana huruma kabisa,
Wanakusanya watoto wa watu toka mikoan wakiwaadi kuwalipa vizuri matokeo yake wanaambulia mateso, sema ndo ivyo hawawezi kurudi hom sababu mbali na nauli hakuna inabid wafanye hivyo hivyo....kama idara ya Kaz wapo serious wafanye inspection kwenye hiz kampun za kigen ...kuna madudu ya kufa mtu
 
WAHINDI na WAARABU wanapenda sana, nenda Posta kwenye restaurant ya muhindi ulizia maji ya Kilimanjaro kama wanauza, jibu utakalopewa ni "IPO MAJI YA UHAI TU"
 
boss wangu.jpg
Naomba kutofautiana na mtoa mada kwanza mtu binafsi akiwa na kampuni yake nia yake kubwa ni kupata faida,Na ili apate faida ni lazima awaajiri wafanyakazi WELEDI na WAADILIFU.Shida kubwa ya WASOMI wetu wengi wamefaulu vizuri ila wanakosa kitu kinaitwa SOFT SKILLS(Uaminifu, Uwajibikaji, Uweledi nk) Unamwajiri mtu leo mara anakuibia, kuchelewa kazini, ruhusa za kila siku, kutojali muda na uvivu), Hata mimi ningekuwa AZAM, DEWJI nisingekuajiri eti kwasababu ni mtanzania na mzalendo.Watanzania kama tumeua viwanda na miradi yetu kwa kukosa uzalendo huko kwa DEWJI si ndio tutammaliza kabisa, Kwahili kwa kweli mimi ni mtanzania mwenzenu ila nitakuwa upande wa wageni,Kwanza tujiulize ni kwanini matajiri wapo tayari kuwalipia vibali wakenya, waganda ,wahindi na kuwapa mishahara mikubwa wakati wana elimu sawa na wabongo ni kwasababu hawa wenzetu wana ufanisi kwenye kazi zao. Ndugu zangu sisi tuna mbinu nyingi sana za wizi, kusengenyana na kuhujumiana.Angalia hata hoteli za kitalii za waswahili kabisa hawataki kuajiri wabongo kwenye baadhi ya kazi, mimi mwenyewe alikuja kijana fresh toka chuoni alifanya kazi na mimi kwa miezi sita ila sikuona alikuwa anafanya nini.kazini nawahi kabla take, anawahi kutoka, muda mwingi yupo kwenye simu na facebook,ruhusa kila wiki na anataka mshara mkubwa kwa kazi niliyokuwa nafanya mimi zaidi.INABIDI WATANZANIA TUBADIRIKE NA HASA HIKI KIZAZI CHETU CHA SASA HATUAJIRIKI.NA MATOKEO KWENYE VYETI HAYAONYESHI KWENYE UTENDAJI NDIO MAANA WENGI SIKU HIZI KWENYE SEKTA BINAFSI HAWAANGALII TENA GRADE GANI UMEPATA ILA WANAANGALIA UBUNIFU, JE UNAFUNDISHIKA, MWELEDI NA MWAMINIFU BASI!!
 
Habari wanabodi,

Nimefanya ka uchunguzi ka haraka haraka nikagundua kuna hizi kampuni ambazo zimebobea kuajiri wageni kwenye nafasi nyeti especially za uhasibu na general administration mojawapo ni Superdoll, Bakhresa Group, Quality Group, Mohamed Enterpises etc hapa nimetaja chache. Kampuni hizi zinamilikiwa na wazalendo sasa inakuwaje wanaleta nyomi kutoka India kupiga kazi wakati vijana wapo mitaani wanakufa njaa? Bakhresa, Manji, Nassor , Dewji kwani hamna mswahili mzalendo mwenye CPA , ACCA anayeweza kuwa Financial Controller hapo hadi ukakokote wahindi kutoka India? Kama tatizo experience si muweke waswahili chini yao wajifunze halafu wakishajua mnaondoa hao wajamaa.

Mbona hawa wenzetu wanakosa uzalendo? Kama wahindi wanaweza sana kuongoza si wahamishe na hizi biashara zao ziende huko India?

Hivi tatizo ni nini wana bodi ni kwamba watanzania hatuwezi hizi kazi? au tuna demand pesa nyingi? au ndio uzoefu? au kasumba tu!?
Mmezidi wizi!
 
Mimi ni Mtanzania, tena mweusi sana, lakini kwa kweli kabisa kumwajiri Mtanzania kwenye sehemu nyeti za kampuni yangu sitaweza. Watanzania wengi kila wakati wanafikiria namna ya kukuibia hata kama utamlipa mshahara mkubwa au kumsaidia vipi. Hilo ni tatizo kubwa katika jamii yetu na limeibuka miaka ya karibuni katika nchi yetu - kuanzia miaka ya 80 hivi.
Mkuu me mtumishi WA Yehova hatutaki cha mtu nifikiriee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom