Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 651
Watu wengi walikuwa wanahofia kungekuwa na tetemeko au mafuriko ila so far mbali ya tetemeko la Japan (wiki moja kabla) na la Burma hakuna tukio lingine lolote nililolisikia.Hilo tukio huwa halina athari zozote kimazingira ndani ya dunia yetu?