SUPER MOON - 19th March 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SUPER MOON - 19th March 2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAMMAMIA, Mar 19, 2011.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Leo mwezi utakuwa katika sehemu ya karibu katika mhimili wake, kwa hivyo kuonekana mkubwa zaidi (90%) kuliko tulivyozowea kuuona. Ukubwa huu utakuwa kwa mara ya kwanza tangu ulipoonekana hivyo miaka 18 iliyopita (Machi 1993).
  Watakaobahatika kuwepo nje, wauangalie.

  Pia unaweza kuangalia video hii:
  YouTube - Extreme Supermoon on 03-19-2011 - Triggers quakes
   
 2. Venant Ben

  Venant Ben Senior Member

  #2
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Asante kwa taarifa
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa taarifa nzuri na ya kuelimisha. Maana jf siku hz watu hukopi na kupaste tu mf. Eti mtu alikuja na mambo mangapi sijui kuhusu Obama... To hell, yanatuhusu nini sasa hayo... Asante, asante sana kwa ya leo.
   
 5. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Asante eee
   
 6. kopites

  kopites JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2016
  Joined: Jan 28, 2015
  Messages: 4,833
  Likes Received: 4,064
  Trophy Points: 280
  Leo tunaona tena full moon
   
Loading...