Plan Of Action
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 462
- 381
Hawa ndio wababe wa jiji
radhi kwa namna hii kweli?We bwana wewe Mr Bean Jr
Acha nicheke tu japo sijapendaWengi wapo ccm
Neno zuri.........niko namuangalia huyo mwenyewe kajinzi kaa blue juu kule alivyoibana mashine yakeHawa pungaz hawa daah, kukosa malezi ya wazazi wawili nayo yachangia plus nyumba kujaa watoto wa kike. Unakuta ratio ya 1:6.