TEAM 666 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 4,442 Reaction score 8,695 Oct 5, 2018 #1 Habari wana Jf Ninamtaji was million 25 ila bado sijajua wapi niekeze kwenye hizi sector 2 Naomba ushauri wenu wadau
Habari wana Jf Ninamtaji was million 25 ila bado sijajua wapi niekeze kwenye hizi sector 2 Naomba ushauri wenu wadau
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,580 Reaction score 29,716 Oct 5, 2018 #2 mkuu ukifungua supermarket nikumbuke pia.Nina uzoefu katika sekta hyo
Ifumange JF-Expert Member Joined Oct 21, 2016 Posts 900 Reaction score 1,077 Oct 5, 2018 #3 Poultry farm kama una shamba tayari
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 6,285 Reaction score 12,622 Oct 5, 2018 #4 Poultry ndo mpango mzima.......