Super Feo yapata ajali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Super Feo yapata ajali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fige, Nov 4, 2011.

 1. fige

  fige JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gari ya super feo iliyokuwa inatoka dar kwenda songea imepata ajali karibu na ifunda.haijaua lakini kuna majeruhi
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  naona sumatra iko bize kuifungia dar express?
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  anne makinda kapata habari?......mmoja wa wamiliki
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  na wao wasubiri kufuli la sumatra
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Aaah mkuu'ni kweli?siwezi kuamini kama ana uwezo wa kumiliki mali kama hizo
   
 6. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hakuna Mtu anapenda Ajali, ni bahati mbaya tu, Ingawa bahati mbaya zingine ni ngumu kuzielewa.

  Kwa jinsi ninavyofahamu super feo huwa zinakimbia balaa. Bila shaka tatizo ni mwendo kasi.
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Poleni majeruhi wote, Mungu awaponye majeraha haraka.
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ni share tu mkuu mbona anaejiita mtoto wa mkulima ana hisa kwenye mabasi ya SUMRY.
   
 9. M

  Manyema JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Emanuel Nchimbi naye amepata taarifa ni mmoja pia ya wamiliki....ila duh ntakuwa nasafiri na nn na mm hilo ndiyo basi langu.
   
 10. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mbona yapo meng tu @manyema? Hata mm ndio usafiri ninaotumia nikienda songea,jamaa nimesafir nao mara nying sana kiukwel wako makini,hiyo itakuwa ni bahat mbaya tu,fige tujuze nn chanzo cha ajali?
   
 11. u

  utantambua JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Alaaaaaa mmmmhhh hii mambo hii dah. Sikua nikijua! Kumbe ana kabiashara naye duh
   
 12. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kumbeee!,ndo maana super feo zingine zina maandishi ya rangi ya njano,zingine maandishi meupe,zingine zimechorwa penguins kioo cha nyuma wakati zingine ziko plain kabisa.Kumbe wamiliki wanajaribu kuzitofautisha.
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  Ni amri kutoka kwa baba Riz zero
   
 14. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Poleni sana majeruhi.
   
 15. fige

  fige JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waliokuwa kwenye ajali wanasema chanzo ni tuta la barabarani ambalo dereva aliliingia kwa speed japo wanasema gari haikuwa kasi sana.
  Matokeo yakawa kupinduka
   
 16. O

  One tsh. Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni majeruhi tunawaombea kwa mungu afya zenu zitengamae soon
   
 17. S

  Sngs Senior Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Poleni sana majeruhi mwenyezi mungu awajalie rehma.
   
 18. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  nimesikia hii, ndio maana mwalimu akatenga siasa na biashara. wajanja wakairudisha...
   
Loading...