Super black akifurahia maisha

Super black akifurahia maisha

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,308
Reaction score
4,209
Picha inamuonesha mstaafu huyo akienjoy maisha sura ikiwa na nuru na bashasha huku moyoni akisema msemo wa Herode "nimenawa mikono".

Screenshot_20251119_111824_Facebook.jpg
 
Na ole wako 9D nisione matraco yako barabarani unaandamana, ikiwezekana wakupunyue hata moja ya sikio, itakuwa alama ya kudumu kwa wakati ujao na vizazi vyako vijavyo kwamba wewe nawe ulikuwa mmojawapo wa mashujaa wa Taifa.
Dogo jamba kunya uruke kitandani.
Nyau ww
 
Back
Top Bottom