Unamkufuru mungu....na wale wasio na nguo za kuvaa wanataman walau wapate japo matambara wajistiri na wale ambao wanapitisha siku bila ya kupata rizki ya chochote kutia matumboni mwao tuwaite nani?
Mungu akusamehe.....shukuru kwa neema alokujaalia mungu
Tatizo kwa wale wenye nazo wanaweza kumiliki hizi starehe lakini wakalala mzungu wa nne no peace. Na pia mwingine masharti ya babu analala chini kwenye floor....
Nakipenda tu hiki changu hivihivi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.