TUNTEMEKE Platinum Member Joined Jun 15, 2009 Posts 4,587 Reaction score 581 Nov 19, 2011 #21 Mario baloteli wa bongo,jamaaaaaaaa anajua mpira.sema malezi ya kujitambua yahapo kabisa kichwani mwake. Jamaa kaoa bonge la sister duuu wa zizzou fashion.
Mario baloteli wa bongo,jamaaaaaaaa anajua mpira.sema malezi ya kujitambua yahapo kabisa kichwani mwake. Jamaa kaoa bonge la sister duuu wa zizzou fashion.
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Nov 19, 2011 #22 Ulimakafu said: Hafaai hata kuitwa star..... Click to expand... supa staa kwako ni wema sepetu...acha nyekundu iitwe nyekundu na kijani iitwe kijani..
Ulimakafu said: Hafaai hata kuitwa star..... Click to expand... supa staa kwako ni wema sepetu...acha nyekundu iitwe nyekundu na kijani iitwe kijani..
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,743 Nov 19, 2011 Thread starter #23 Mzee Wa Rubisi said: Kwanini alibadilisha jezi na kuvaa kiraia na kupokea medali. Click to expand... Bange alichanganya na majani ya chai
Mzee Wa Rubisi said: Kwanini alibadilisha jezi na kuvaa kiraia na kupokea medali. Click to expand... Bange alichanganya na majani ya chai
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,240 Reaction score 3,938 Nov 19, 2011 #24 Anko Sam said: Ni mzee wa viroba nini? Bongo watu wamechoka, mchezaji wa timu kubwa anavaa "yeboyebo"? Click to expand... Hizo sio "yebo yebo" kabisa tena. ni sports slippers, tena thamani yake, piga panguwa ni kama jozi 40 za "yebo yebo".
Anko Sam said: Ni mzee wa viroba nini? Bongo watu wamechoka, mchezaji wa timu kubwa anavaa "yeboyebo"? Click to expand... Hizo sio "yebo yebo" kabisa tena. ni sports slippers, tena thamani yake, piga panguwa ni kama jozi 40 za "yebo yebo".
yegella JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 3,113 Reaction score 1,104 Nov 19, 2011 #25 Mzee Wa Rubisi said: Bangi mtu. Picha ya pili kwanini akuchukuliwa hatua na TFF Click to expand... Kwa kosa lipi...?
Mzee Wa Rubisi said: Bangi mtu. Picha ya pili kwanini akuchukuliwa hatua na TFF Click to expand... Kwa kosa lipi...?