Supa staa Boban

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
Sina la kuongezea

Anaitwa kiungo bora sijui na manini nini vile Haruna moshi Boban kulia

Hapa Supa staa Boban akitoka kuchukua medali yake ya kombe la kagame.
 
Ni mzee wa viroba nini? Bongo watu wamechoka, mchezaji wa timu kubwa anavaa "yeboyebo"?
 
dah! Watu wa protokali hawakuwepo hapo uwanjani? Aibu hii
 
dah!!!kweliii mselaa mpaka kapilizaaa
 
hapo kwenye picha anamimina kiroba(konyagi) kwenye chupa halafu wakifika uanjani wanaact ni maji.baada ya mchezo half time unakuta anakunywa.kama hujui utajua anakunywa maji kumbe ni kiroba.mia
 
Badala ale chakula cha kujenga mwili na kuongeza nguvu, anakula cha kupunguza nguvu. Ndio maana wamekuwa vigeu vigeu, wakiwa Chadi: 2 vs 1. Wakiwa nyumbani 1 vs 0 - Mcheza kwa Hatunzwi.
 
hapo kwenye picha anamimina kiroba(konyagi) kwenye chupa halafu wakifika uanjani wanaact ni maji.baada ya mchezo half time unakuta anakunywa.kama hujui utajua anakunywa maji kumbe ni kiroba.mia

Kama ikigunduliwa inaweza kuchukuliwa kama alitumia dawa za kuongeza nguvu?
 
Sina la kuongezea

Anaitwa kiungo bora sijui na manini nini vile Haruna moshi Boban kulia

Hapa Supa staa Boban akitoka kuchukua medali yake ya kombe la kagame.
Kwanini alibadilisha jezi na kuvaa kiraia na kupokea medali.
 
hapo kwenye picha anamimina kiroba(konyagi) kwenye chupa halafu wakifika uanjani wanaact ni maji.baada ya mchezo half time unakuta anakunywa.kama hujui utajua anakunywa maji kumbe ni kiroba.mia
usikute alikuwa anamiminia maji ya kandoro kwenye chupa
 
Naona hapo yuko Nurdini Bakari..kijiti mixer kiroba...duh....mawela camp....Boban Jembeee...nakumbuka hii tumetoka sudan kufuzu kwenda CHAN
 
Mbona huyu jamaa hana tofauti na wale jamaa wanaouzaga mayai kule kwa Mtogoro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…