Supa modo

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Alafu wabongo na sisi tuige basi. Kudaadadeki, asemavo Lusinde!

182353_409017532465448_367738526593349_1243896_1635949083_n.jpg
 
Huyo ni size minus zero.
Victoria beckham ndiko anako elekea.
 
Sasa kama kaolewa, hyo mimba itakaa wapi? Mana sipati picha akitembea, lazima aangushwe na upepo.
 
Anorexia ni ugonjwa unaowapata wadada wengi waliopo kwenye teens katika nchi za Kimagharibi.

Hawa hujiaminisha kuwa ili uwe mzuri ni lazima uwe mwembamba.

Wanafikia mahali, kila wakila wanatapika
 
Sasa kama kaolewa, hyo mimba itakaa wapi? Mana sipati picha akitembea, lazima aangushwe na upepo.

Kwani wale watoto wake 2 mimba ilikaa wapi? Kila kitu na mahali pake.
 
Ukiwa nae kitandani inahitajika extra energy jogoo kusimama
 
Hiyo pich simply photoshop, hata kama Angelina ni skiny but not that extent!

Anorexia ni ugonjwa unaowapata wadada wengi waliopo kwenye teens katika nchi za Kimagharibi.

Wakaka pia inawapata
 
Hiyo pich simply photoshop, hata kama Angelina ni skiny but not that extent!

Wakaka pia inawapata

Anorexia Nervosa, yaani huyo usidhani ni shida imemfanya hivyo! hapo anatafuta urembo
 
Back
Top Bottom