Hii picha ni ya ukweli, photoshop. Sasa ubaya unatoka wapi hapo? Kashfa ya dini inatoka wapi hapo? Mkristo hawezi kuvimbiwa? Au kwa vile aliyevimbiwa katika picha hii kavaa kanzu?

Ulaji mwingine hauna tofauti na ukafiri wenyewe! Ajabu wakati watu wakipwakia hivi kuna majirani zao hawana shibe. Wengine tena hutumia hata kodi za hao wanaokufa njaa kupwakia hivyo na bado wanajiona wana dini!