Supa Ghee

Supa Ghee

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
381565_214862018589133_879239477_n.jpg
 
Nakumbuka mama yangu na super ghee. Sasa ukute tin opener haionekani, zoezi la kufungua kwa kisu, wacha maneno yake
 
nimeimiss sana hii kitu enzi hizo mpaka ukaoge kwanza ndo dingi linakupa ruksa ya japo kutia kakidole tu ndani
 
Dah, Mbuzi mzee kwasasa ndiye unayeleta picha zinazovuta hisia tofauti tofauti na zinazovutia zaidi, Big up mkuu.
 
huku kwetu kuna magari tunayaita 'selela' lazima ataikimbia hiyo laptop
 
inaezekana jamaa katimuliwa hela ya kodi ya kulipia chumba hana na baba mwenye nyumba
 
ha ha ha ha haaa nimecheka sana ....huyu atakuwa bazazi..
 
Back
Top Bottom