Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,931
- Thread starter
- #21
Ahahahahaaa..asante Bro..ulikuwa na ule usafiri wetu..Ti..ila mkuu hongera sana
Aksante

hata wabongo pia, wale tunaoishi masaki. lol!
Hahahaha wa masaki ni sheeeeedah...
Nilipiga juzi na ki HUAWEI changu, hapo ni katikati ya Mikese na Moro town.
We fikiria mtu wa Tandale anunue li picha kama hilo la kazi gani?
Preta, umeshawekewa barrier ya kitaalamu! Kuna mbwa mkali huko!Mh! Haya karibu nyumbani DAR ES SALAAM, Ukishuka ubungo chukua tax mwambie akupeleke kinondoni, ukifika kinondoni chukua daladala ya kwenda Mwananyamala, ukifika huko chukua bajaj mwambie akupeleke makumbusho, ukishafika utakuta bodaboda pale, basi mwambie akupeleke Mwenge, ukishafika mwenge chukua daladala ya Kimara, utashuka Suca, chukua Noah ushuke kituo kinaitwa kinzudu kisha hapo mtafute mtoto yeyote akusaidie kuvuks mto, halafu upande wa pili utakutA usafiri wa punda, Panda hao punda mpaka kwa mchoma nyama utanikuta nakusubiri....!!
Mh! Haya karibu nyumbani DAR ES SALAAM, Ukishuka ubungo chukua tax mwambie akupeleke kinondoni, ukifika kinondoni chukua daladala ya kwenda Mwananyamala, ukifika huko chukua bajaj mwambie akupeleke makumbusho, ukishafika utakuta bodaboda pale, basi mwambie akupeleke Mwenge, ukishafika mwenge chukua daladala ya Kimara, utashuka Suca, chukua Noah ushuke kituo kinaitwa kinzudu kisha hapo mtafute mtoto yeyote akusaidie kuvuks mto, halafu upande wa pili utakutA usafiri wa punda, Panda hao punda mpaka kwa mchoma nyama utanikuta nakusubiri....!!

Ayiiiii wewe........basi nitakuja huko kwako.......Kwani ni wapi.........?
binamu hebu njoo kisarawe basi upate mandhari ya huku....
aaah......mi nilikua nataka mologolo......labda nikupitie twende......
Mh! Haya karibu nyumbani DAR ES SALAAM, Ukishuka ubungo chukua tax mwambie akupeleke kinondoni, ukifika kinondoni chukua daladala ya kwenda Mwananyamala, ukifika huko chukua bajaj mwambie akupeleke makumbusho, ukishafika utakuta bodaboda pale, basi mwambie akupeleke Mwenge, ukishafika mwenge chukua daladala ya Kimara, utashuka Suca, chukua Noah ushuke kituo kinaitwa kinzudu kisha hapo mtafute mtoto yeyote akusaidie kuvuks mto, halafu upande wa pili utakutA usafiri wa punda, Panda hao punda mpaka kwa mchoma nyama utanikuta nakusubiri....!!
Khaaa! hizi longolongo zote za nini? si useme tu ... ndio njoo au hapana usije.