Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,007
- 1,600
Elimu ya ulinzi au mafunzo ya ulinzi (mgambo, jkt)?Husika na mada tajwa hapo juu.
Ndugu wana Jf je hawa ndugu zetu sungusungu wana elimu ya ulinzi wa mitaa na usalama wa mali za raia.
Je, uwepo wao unatambulika kikatiba?
Naomba kuwasilisha ili tuweze kulijadili.
Karibu sana.
Kwani katiba inatumika Tz?Ujasiri na afya njema vinatosha
Ote nzie ya mana
Duh 😆
Wana elimu isiyo sahihi kwenye suala zima la ulinzi shirikishiHusika na mada tajwa hapo juu.
Ndugu wana Jf je hawa ndugu zetu sungusungu wana elimu ya ulinzi wa mitaa na usalama wa mali za raia.
Je, uwepo wao unatambulika kikatiba?
Naomba kuwasilisha ili tuweze kulijadili.
Karibu sana.
Swali fikirishiKwani katiba inatumika Tz?
Lijibu ovaDuh,swali la kimtego hili
Ova
Wanapaswa wapatiwe elimu jamii pamoja na makosa ya jinaiWana elimu isiyo sahihi kwenye suala zima la ulinzi shirikishi
Mbona hivyo tenaDuh [emoji38]
Suala la jujichukulia sheria mkononi katika majukumu yao unalizungumziaje?Ujasiri na afya njema vinatosha
Je hao sungusungu wamepitia mafunzo ya mgambo?.Elimu ya ulinzi au mafunzo ya ulinzi (mgambo, jkt)?
Wanatambulika na serikali ya mtaa
Kuhusu katiba kuwatambua me sijui
Wewe kama hutaki kulinda changia tu Mkuu,Husika na mada tajwa hapo juu.
Ndugu wana Jf je hawa ndugu zetu sungusungu wana elimu ya ulinzi wa mitaa na usalama wa mali za raia.
Je, uwepo wao unatambulika kikatiba?
Naomba kuwasilisha ili tuweze kulijadili.
Karibu sana.
Hao wa kutoa hiyo elimu sasaWanapaswa wapatiwe elimu jamii pamoja na makosa ya jinai