Sungusungu wanaolinda mitaa Wana Elimu ya ulinzi?

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
2,007
Reaction score
1,600
Husika na mada tajwa hapo juu.
Ndugu wana Jf je hawa ndugu zetu sungusungu wana elimu ya ulinzi wa mitaa na usalama wa mali za raia.

Je, uwepo wao unatambulika kikatiba?

Naomba kuwasilisha ili tuweze kulijadili.

Karibu sana.
 
Elimu ya ulinzi au mafunzo ya ulinzi (mgambo, jkt)?

Wanatambulika na serikali ya mtaa

Kuhusu katiba kuwatambua me sijui
 
Husika na mada tajwa hapo juu.
Ndugu wana Jf je hawa ndugu zetu sungusungu wana elimu ya ulinzi wa mitaa na usalama wa mali za raia.

Je, uwepo wao unatambulika kikatiba?

Naomba kuwasilisha ili tuweze kulijadili.

Karibu sana.
Wana elimu isiyo sahihi kwenye suala zima la ulinzi shirikishi
 
Husika na mada tajwa hapo juu.
Ndugu wana Jf je hawa ndugu zetu sungusungu wana elimu ya ulinzi wa mitaa na usalama wa mali za raia.

Je, uwepo wao unatambulika kikatiba?

Naomba kuwasilisha ili tuweze kulijadili.

Karibu sana.
Wewe kama hutaki kulinda changia tu Mkuu,
Na ukiingia kwenye 18 zao wazingue, hapo ndio utajua wamepitia mafunzo ama vipi...
 
Achana na hao sungusungu kutokuwa na elimu ya ulinzi ila hata wajumbe wa mitaa ni wengi wao ni sifuri kwenye elimu ya ulinzi
 
Back
Top Bottom