sunda internation group

sunda internation group

LADYLUV

Senior Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
149
Reaction score
98
Habari, Naomba msaada wenu kwa wanao elewa kampuni ya sunda international group iliyopo kigogo inajishughulisha na nini na vipi pale unapoajiliwa unafanya kazi zipi nimeomba kazi ila interview ya kwanza ilikuwa trainee ya kwenda kuuza bidhaa je inakuwa ndio kazi yenyewe au huwa wanabadilishiwa na kupewa kazi za ofisini na kuacha hiyo ya kutembeza. Mawazo yenu ni muhimu na sio masimango, matusi na dharau. Asanteni
 
Sasa secretary akafanye interview ya sales haujiulizi
Hapo hakuna usecreatary
 
Mchina anakufunza maisha halisi... mchina haitaji secretary sio mvivu kama mabosi wa kiswahili wa kumkorogea chai na kuandika barua....

mchina anakupa mshahara kwa jasho.. kazi hapo ni ukauze bidhaa umletee mahela
 
Hamna kazi hapo unatambea kwa miguu au kwenye magari na mazigo yako ya kuuza
 
Habari, Naomba msaada wenu kwa wanao elewa kampuni ya sunda international group iliyopo kigogo inajishughulisha na nini na vipi pale unapoajiliwa unafanya kazi zipi nimeomba kazi ila interview ya kwanza ilikuwa trainee ya kwenda kuuza bidhaa je inakuwa ndio kazi yenyewe au huwa wanabadilishiwa na kupewa kazi za ofisini na kuacha hiyo ya kutembeza. Mawazo yenu ni muhimu na sio masimango, matusi na dharau. Asanteni
Hivi walikuomba CV? Au wewe uliwapa bila kuombwa? Maana wale hawahitaji vyeti wao wanakupa kazi waliyonayo na sio unayoitaka, kwa mchina kazi za ofisini zote wanafanya wenyewe sijui wewe watakupa ipi vinginevyo hapo ndio umefika, kila mmoja na laptop yake wanapiga kazi halafu Ni wasiri sana ndio maana hawataki wasaidizi
 
waliomba vyeti
 
Hiyo kampun si ndio inajihusisha na utengenezaji wa sabuni ya unga jina limenitoka kidogo
 
Back
Top Bottom