Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

Baadala ya kuuumiza kichwa kutekeza ahadi na kutatua matatizo ya watanzania mnakaa kuwakosoa CDM ambao siyo wanaongoza nchi. UMEME hola, Elimu zero, Afya Mgogoro,miundo mbinu chafu!maji kitendawili.
 
Wadau, hivi karibuni, viongozi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr. Wilbroad Slaa walitangaza mpango wa Tanzania kuongozwa katika Mfumo wa Majimbo. Katika nadharia yao hiyo, ni kwamba nchi ya Tanzania itagawanywa katika Majimbo ili kuharakisha shughuli za maendeleo.

Wametolea mfano kuwa mataifa mengi ikiwa ni pamoja na Marekani yameendelea kwa vile kuna majimbo ambayo yana mamlaka ya kupanga na kutekeleza mipango ya maendeleo katika majimbo yao. Kwa mujibu wa nadharia yao hiyo ni kuwa Tanzania itakuwa na mamlaka mbili za kiutawala.

Kutakuwa na serikali kuu ambayo itakuwa na wajibu wa kushughulikia masuala ya kitaifa ikiwa ni pamoja na ulinzi na usalama sambamba na ushirikiano wa kimataifa. Aidha, kutakuwa na serikali za majimbo ambazo zitakuwa na jukumu la kupanga na kutekeleza mipango ya maendeleo katika maeneo yao.

Katika kutekeleza hilo, CHADEMA wameanzisha kampeni za kueneza hoja yao hiyo kwa wananchi huku ikiwashawishi wakatae raslimali zao kutumika kwa manufaa ya Taifa. Mathalan, baada ya OPERESHENI OKOA KUSINI kutokuwa na mafanikio, viongozi wa CHADEMA waliwashawishi viongozi wa vyama vingine vya upinzani katika mikoa ya Lindi na Mtwara ili waanzishe kampeni ya kupinga mradi wa Taifa wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam chini ya kauli mbiu GESI KWANZA, VYAMA BAADAYE, HAPA HAKITOKI KITU. Kudhihirisha hilo, bendera ya CDM ilipeperushwa wakati wa maandamano yaliyofanyika Desemba 2012 na Januari 2013.

  • Inawezekana kabisa CDM hawana watu wa kutosha wenye sifa za kuunda serikali kwa maana ya Rais, Makamu wa Rais, waziri Mkuu, mawaziri, Makatibu wakuu, wakuu wa mikoa, wakuu wa Wilaya n.k na hivyo kuona kama sera hii ni mwarobaini wa kukidhi idadi ndogo kabisa ya watu wenye sifa hizo ukimwondoa Mwenyekiti wa chama ambaye hata elimu yake ya kidato cha nne haioneshi alisoma shule gani, huku uzoefu wake wa kazi ikiwa ni karani wa benki kuu wakati Baba mkwe wake akiwa Gavana
  • Kwa maoni yangu ni kuwa, kitendo cha viongozi wa CHADEMA cha kuigawa nchi ambayo hawana mamlaka nayo ni uvunjwaji wa katiba na sheria za nchi. Kwamba, nchi ya Tanzania kwa sasa inaongozwa kwa mujibu wa katiba ya mwaka 1977 pamoja na marekebisho yake ambapo ndani ya katiba ya sasa hakuna kipengele kinachoelezea sera ya majimbo. Kwa kitendo cha viongozi wa CHADEMA kuigawa nchi wanastahili kuchukuliwa hatua za kisheria na kama ingekuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kimabavu, Dr Slaa na Mbowe hivi sasa wangekuwa wapo ndani ya magereza yetu wanasubiri hukumu ya kifo kwa makosa yao ya uhaini
  • Hapana ubishi kuwa mikoa kama Dar es salaam, Tanga, Pwani, Lindi na visiwa vya Zanzibar waumini wake wengi ni waislamu, huku mikoa kama Mbeya, Kilimanjaro, Arusha na Manyara waumini wake walio wengi ni wakristo. CDM wameamua kwa makusudi mazima kuwagawa watanzania kwa misingi ya udini, hoja ambayo wanajaribu kuwa-preempt CCM kuwa ndiyo wanaeneza udini. Hili linafanyika kwa makusudi hasa ukizingatia kuwa wote wanaopiga kelele za kuwa CCM ni wadini wote wamelelewa na kanisa (SLAA, MBOWE, LEMA, MNYIKA n.k), kwa ushahidi tazameni CV zao kwenye tovuti ya bunge mkajionee, hata machapisho yao ni vitabu vya dini.
  • Kuonesha kwa vitendo kuwa ni wadini kwa kuyaenzi maneno yalioko kwenye vitabu vitakatifu kuwa "KILA MTU ATAUBEBA MSALABA WAKE MWENYEWE" kwani sasa ile mikoa ambayo haina maliasili kama mito, maziwa, milima na madini na iko nyuma kimaendeleo iendelee kuwa maskini na ile yenye maliasili na iko mbele kimaendeleo na iendelee tajiri.

Sera ya Majimbo imeanzishwa kama sehemu ya kuingilia tu mwelekeo halisi ni kuigawa nchi kimkoa. Katika maandalizi ya hilo, CHADEMA wameanzisha Tovuti za kimkoa kama vile Mbeya Yetu, Katavi Yetu, Iringa Yetu, Lindi Yetu, Mtwara Yetu, Dar es Salaam Yetu, Arusha Yetu na Zanzibar Yetu. Mitandao hiyo imeratibiwa na kuendeshwa na CHADEMA kwa lengo la kuhamasisha vijana ambao ndio watumiaji wakubwa kuichukia serikali na kujitambua kimkoa chini ya dhana ya WAGAWE UWATAWALE.

  • Katika kuonyesha kuwa dhana yao hiyo haitekelezeki, viongozi wa CHADEMA na hasa FREEMAN MBOWE na dr WILBROAD SLAA wamekuwa wakitumia mapato ya kitaifa ya CHADEMA kuendeleza majimbo yao ikiwa ni pamoja na kutoa huduma za kijamii kama vile maji na afya huku akina MNYIKA wakitegemea hoja binafsi bungeni na maandamano kuondoa matatizo yanayowakabili hususan tatizo la maji ubungo. Kutokana na hali hiyo, wabunge wengi wa CHADEMA watapoteza majimbo yao katika uchaguzi wa 2015 kwa vile wananchi wanatambua kuwa wabunge hao hawana uwezo wa kuwaletea maendeleo
  • DR SLAA na MBOWE wamekuwa wakihamasisha maandamano katika maeneo mbalimbali nchini kama mkakati mmojawapo wa kutekeleza sera hiyo ya majimbo. Kwa kutambua athari za maandamano, viongozi hao hawajawahi kuitisha maandamano hata siku moja katika majimbo yao. Mathalan, siku chache zijazo, MBOWE ataitisha maandamano mkoani Mbeya kushinikiza DR KAWAMBWA ajiuzuru. Maandamano pia yanafanyika kwenye wilaya moja ya kanda ya ziwa kupinga kitendo cha nguzo za umeme kuanguka wakati wa mvua nyingi.

MAGAMBA wanajuwa kwamba sera ya majimbo itakuwa mwiba na jehanamu kwao. ndiyo maana wanailaani kuliko maelezo. Hizo sera zao wanazo zipigia upatu mbona ndiyo zimetufikisha hapa tulipo!!!??? Leo wanaipinga sera ya majimbo wakati sera zao zimeishia kulifilisi taifa na kuwaacha waTanganyika wakiwa masikini huku Mwenyekiti wao akiwa hajui kwa nini waTanganyika ni masikini. Kisa yeye na wateule wake wakifaidi kwa sana.

Sera ya majimbo ndio itakata vilimilimi vya MAGAMBA na ngoma ndiyo imeanza lazima mpige kelele sana mwaka huu.
 
Wewe bwana katika maelezo yako unapoteza mantiki.hebu angalia boldJibu kwanza hayo hapo juu ndio tuendelee maana najua nikikuuliza mengi utakwepa kujibu.

hoja hujibiwa kwa hoja.wewe ndiyo ulipaswa kueleza hiyo sera ya majimbo dadala ya kutumia muda mwingi kuuliza maswali ambayo nina hakika majibu unayo. thatha kaeleza kwa mifano jinsi gani hizo hoja za majimbo ambazo zimeanza kutekelezwa na chadema hata kabla hawajapata ridhaa ya wananchi. mbaya zaidi, wanataka nchi itawaliwe kwa njia ya maandamano kitu ambacho naona si sahihi. mbaya zaidi pia ni kuwa sera zao ni za kibaguzi kwani viongozi hao hutumia ruzuku za chama kuendeleza majimbo yao huku majimbo mengine ya akina ZITTO NA MNYIKA NA WENGINEO yakitumika kama maeneo ya maandamano tu
 
upuuzi huo

Huo siyo tu kwmba ni mtazamo bali ndiyo ukweli wenyewe , ungeupinga kwa hoja ingependeza zaidi, kuanza kutukukana ni dalili kwamba umekubaliana na kilichoandikwa na kwa maana hiyo hauna hoja.
 
MAGAMBA wanajuwa kwamba sera ya majimbo itakuwa mwiba na jehanamu kwao. ndiyo maana wanailaani kuliko maelezo. Hizo sera zao wanazo zipigia upatu mbona ndiyo zimetufikisha hapa tulipo!!!??? Leo wanaipinga sera ya majimbo wakati sera zao zimeishia kulifilisi taifa na kuwaacha waTanganyika wakiwa masikini huku Mwenyekiti wao akiwa hajui kwa nini waTanganyika ni masikini. Kisa yeye na wateule wake wakifaidi kwa sana.

Sera ya majimbo ndio itakata vilimilimi vya MAGAMBA na ngoma ndiyo imeanza lazima mpige kelele sana mwaka huu.

mkuu, mbona hujaeleza ni kwa namna gani sera hiyo itafanya kazi kwa tanzania hasa katika wakati huu ambao wanasiasa wamegawanyika kwa misingi ya dini na ukabila?
 
Ni ubunifu haswa tena wa wizi uliokithiri ila tu mwenye akili aweza ona....cdm hakuna chama Bali ni group la Watu wanaotaka madaraka kwa gharama na bei yoyote ikiwamo utapeli wa sera ya majimbo....we uanzishe jimbo logins au tabora wakati hakuna raslimali za kutosha kujiendeleza......cdm mcharuko hakika hawajatulia

naona mmejipanga uzur, mmeitana nini?
 
Thatha, ulichokiandika hiki ndio msingi wenyewe wa sera hii " Kutakuwa na serikali kuu ambayo itakuwa na wajibu wa kushughulikia masuala ya kitaifa ikiwa ni pamoja na ulinzi na usalama sambamba na ushirikiano wa kimataifa. Aidha, kutakuwa na serikali za majimbo ambazo zitakuwa na jukumu la kupanga na kutekeleza mipango ya maendeleo katika maeneo yao".Hayo mengine uliyo yaweka ni upeo wako tu . Acha siasa za uchonganishi. ww nadi sera zako sisi wananchi tutaamua sera ipi ni nzuri ya majimbo au ya kimkoa.
Nikuulize unafikiri kwa nini Tanzania tuligawanywa katika Mikoa?. Jifunze kufikiri nje ya unachokifahamu penda kujifunza na vitu vingine.

Hi sera ni ya Chadema inakuwasha nini? Viva Chadema!

Naona umezoea kuwashwa na kukunwa. Sera ya CDM au SLAA na MBOWE? Sera yoyote inatakiwa kwa manufaa ya taifa zima siyo na siyo kwa manufaa ya watu wawili
 
thatha

Hivi unatuona humu jamvini hatupo nini?
Ondoa utumwa wako ulio wazi kwa mafisadi hapa!

Jinga kubwa wewe!
 
Last edited by a moderator:
Katika siasa kila SERA ina faida zake na pia ina challenges zake, ni vizuri kutafakari kama challenges zilizopo zinaweza kuwekwa sawa ila ku-enjoy faida za SERA hiyo. Kama hakuna namna ambapo challenges za SERA husika haziwezi kuondolewa au kupunguzwa, basi ni vema kuiepuka SERA hiyo au kuirekebisha ili iwe na faida zaidi kulinganisha na hasara au madhara yanayoweza kutokea kutokana na SERA hiyo.

Mwandishi amejikita kuelezea ubaya wa SERA husika, bila kugusia hata kidogo faida za sera hiyo. Na si kweli kwamba SERA hiyo haina faida hata moja, bali mwandishi amejivisha UPOFU wa makusudi ili kutokuziona faida na kutuaminisha hata sisi wasomaji kuwa hakuna faida. Kwa mtazamo wa haraka, mwandishi anatuaminisha kuwa yeye ni miongoni mwa wale wanaokosoa kila wazo linaloletwa na vyama vya upinzani nchini na kukubaliana na kila wazo linalotolewa na chama tawala (KIJANI) hata kama SERA au wazo hilo lina madhara kwa taifa.

Kitu kingine mwandishi kadanganya ni kazi za serikali kuu katika serikali ya majimbo, kwa sababu si kweli kwamba kazi za serikali kuu ni za kitaifa tu kama ulinzi na usalama na ushirikiano wa kimataifa, bali inahusisha pia 'economic balance' ambapo surplus ya eneo lenye utajiri mkubwa itapelekwa kuendeleza maeneo yenye umaskini. Pili, masuala ya udini na ukabila hayawezi kujitokeza kwa sababu watu kutoka dini na makabila tofauti wameshajichanganya. Kuna wakaristo wengi maeneo ya pwani na pia kuna waislamu wengi katika maeneo ya wakristo. Pia, si ajabu kuwaona wachaga Kigoma au kumuona Mpemba akiwa Mbozi Mbeya.

Kiujumla, serikali ya majimbo ina faida nyingi sana kuliko mfumo wa sasa hivi wa serikali ambapo rasilimali nyingi zinatumika kuendeleza maeneo machache na kuyaacha maeneo mengi katika umaskini wa kutupwa. Si ajabu kuwaona watu wa manyara wakiwa katika umaskini mkubwa wakati mkoa wao una vivutio vingi vya utalii, si ajabu kuwaona pia watu wa mkoa wa Kigoma wakiteswa na umaskini wakati wana ziwa lenye uwezo wa kuzalisha samaki na dagaa kwa wingi. Hiyo ni mifano tu ambapo watu wa maeneo hayo wangekua na viongozi waliowachangua wenyewe wangeweza kupiga hatua kubwa kimaendeleo.
 
Wadau, hivi karibuni, viongozi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr. Wilbroad Slaa walitangaza mpango wa Tanzania kuongozwa katika Mfumo wa Majimbo. Katika nadharia yao hiyo, ni kwamba nchi ya Tanzania itagawanywa katika Majimbo ili kuharakisha shughuli za maendeleo.

Wametolea mfano kuwa mataifa mengi ikiwa ni pamoja na Marekani yameendelea kwa vile kuna majimbo ambayo yana mamlaka ya kupanga na kutekeleza mipango ya maendeleo katika majimbo yao. Kwa mujibu wa nadharia yao hiyo ni kuwa Tanzania itakuwa na mamlaka mbili za kiutawala.

Kutakuwa na serikali kuu ambayo itakuwa na wajibu wa kushughulikia masuala ya kitaifa ikiwa ni pamoja na ulinzi na usalama sambamba na ushirikiano wa kimataifa. Aidha, kutakuwa na serikali za majimbo ambazo zitakuwa na jukumu la kupanga na kutekeleza mipango ya maendeleo katika maeneo yao.

Katika kutekeleza hilo, CHADEMA wameanzisha kampeni za kueneza hoja yao hiyo kwa wananchi huku ikiwashawishi wakatae raslimali zao kutumika kwa manufaa ya Taifa. Mathalan, baada ya OPERESHENI OKOA KUSINI kutokuwa na mafanikio, viongozi wa CHADEMA waliwashawishi viongozi wa vyama vingine vya upinzani katika mikoa ya Lindi na Mtwara ili waanzishe kampeni ya kupinga mradi wa Taifa wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam chini ya kauli mbiu GESI KWANZA, VYAMA BAADAYE, HAPA HAKITOKI KITU. Kudhihirisha hilo, bendera ya CDM ilipeperushwa wakati wa maandamano yaliyofanyika Desemba 2012 na Januari 2013.

  • Inawezekana kabisa CDM hawana watu wa kutosha wenye sifa za kuunda serikali kwa maana ya Rais, Makamu wa Rais, waziri Mkuu, mawaziri, Makatibu wakuu, wakuu wa mikoa, wakuu wa Wilaya n.k na hivyo kuona kama sera hii ni mwarobaini wa kukidhi idadi ndogo kabisa ya watu wenye sifa hizo ukimwondoa Mwenyekiti wa chama ambaye hata elimu yake ya kidato cha nne haioneshi alisoma shule gani, huku uzoefu wake wa kazi ikiwa ni karani wa benki kuu wakati Baba mkwe wake akiwa Gavana
  • Kwa maoni yangu ni kuwa, kitendo cha viongozi wa CHADEMA cha kuigawa nchi ambayo hawana mamlaka nayo ni uvunjwaji wa katiba na sheria za nchi. Kwamba, nchi ya Tanzania kwa sasa inaongozwa kwa mujibu wa katiba ya mwaka 1977 pamoja na marekebisho yake ambapo ndani ya katiba ya sasa hakuna kipengele kinachoelezea sera ya majimbo. Kwa kitendo cha viongozi wa CHADEMA kuigawa nchi wanastahili kuchukuliwa hatua za kisheria na kama ingekuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kimabavu, Dr Slaa na Mbowe hivi sasa wangekuwa wapo ndani ya magereza yetu wanasubiri hukumu ya kifo kwa makosa yao ya uhaini
  • Hapana ubishi kuwa mikoa kama Dar es salaam, Tanga, Pwani, Lindi na visiwa vya Zanzibar waumini wake wengi ni waislamu, huku mikoa kama Mbeya, Kilimanjaro, Arusha na Manyara waumini wake walio wengi ni wakristo. CDM wameamua kwa makusudi mazima kuwagawa watanzania kwa misingi ya udini, hoja ambayo wanajaribu kuwa-preempt CCM kuwa ndiyo wanaeneza udini. Hili linafanyika kwa makusudi hasa ukizingatia kuwa wote wanaopiga kelele za kuwa CCM ni wadini wote wamelelewa na kanisa (SLAA, MBOWE, LEMA, MNYIKA n.k), kwa ushahidi tazameni CV zao kwenye tovuti ya bunge mkajionee, hata machapisho yao ni vitabu vya dini.
  • Kuonesha kwa vitendo kuwa ni wadini kwa kuyaenzi maneno yalioko kwenye vitabu vitakatifu kuwa "KILA MTU ATAUBEBA MSALABA WAKE MWENYEWE" kwani sasa ile mikoa ambayo haina maliasili kama mito, maziwa, milima na madini na iko nyuma kimaendeleo iendelee kuwa maskini na ile yenye maliasili na iko mbele kimaendeleo na iendelee tajiri.

Sera ya Majimbo imeanzishwa kama sehemu ya kuingilia tu mwelekeo halisi ni kuigawa nchi kimkoa. Katika maandalizi ya hilo, CHADEMA wameanzisha Tovuti za kimkoa kama vile Mbeya Yetu, Katavi Yetu, Iringa Yetu, Lindi Yetu, Mtwara Yetu, Dar es Salaam Yetu, Arusha Yetu na Zanzibar Yetu. Mitandao hiyo imeratibiwa na kuendeshwa na CHADEMA kwa lengo la kuhamasisha vijana ambao ndio watumiaji wakubwa kuichukia serikali na kujitambua kimkoa chini ya dhana ya WAGAWE UWATAWALE.

  • Katika kuonyesha kuwa dhana yao hiyo haitekelezeki, viongozi wa CHADEMA na hasa FREEMAN MBOWE na dr WILBROAD SLAA wamekuwa wakitumia mapato ya kitaifa ya CHADEMA kuendeleza majimbo yao ikiwa ni pamoja na kutoa huduma za kijamii kama vile maji na afya huku akina MNYIKA wakitegemea hoja binafsi bungeni na maandamano kuondoa matatizo yanayowakabili hususan tatizo la maji ubungo. Kutokana na hali hiyo, wabunge wengi wa CHADEMA watapoteza majimbo yao katika uchaguzi wa 2015 kwa vile wananchi wanatambua kuwa wabunge hao hawana uwezo wa kuwaletea maendeleo
  • DR SLAA na MBOWE wamekuwa wakihamasisha maandamano katika maeneo mbalimbali nchini kama mkakati mmojawapo wa kutekeleza sera hiyo ya majimbo. Kwa kutambua athari za maandamano, viongozi hao hawajawahi kuitisha maandamano hata siku moja katika majimbo yao. Mathalan, siku chache zijazo, MBOWE ataitisha maandamano mkoani Mbeya kushinikiza DR KAWAMBWA ajiuzuru. Maandamano pia yanafanyika kwenye wilaya moja ya kanda ya ziwa kupinga kitendo cha nguzo za umeme kuanguka wakati wa mvua nyingi.
Hili povu ni kiashiria tosha kuwa sera ya Majimbo ni moto kwa Magamba, wajameni hebu angalieni povu linavyotoka hapa. Jamaa anaongea kama amekatwa kichwa. Anaongea vilivyopo na hata visivyokuwepo. Mtu asiyejua siasa akisoma hili bwabwajo anaweza jua huyu jamaa ni mpiga ramli maana kaongea mengi kwa kweli ambayo hata hayaeleweki.

Take your time kijana ku-learn hii system mpya ya kiutawala pamoja na historia yake. Inaonekana umesukumwa na hisia pamoja na itikadi za kichama badala ya kujua what the system is all about. Viongozi wako wa CCM wanajua uzuri na ufanisi wa hii sera na ndio maana hawajatoa mlio, usikute wanajiandaa kucoooooooooopy na kupaaaaasteeeeee as usual. Nenda ujage kivingine!!

After all mbona unaonekana wewe ni GAMBA unayeisikitikia chadema kwa kutekeleza sera/mkakati usio na ufanisi??? Hivi si ulitakiwa uiache ili ipotelee huko kwenye huo mkakati wake??? Huoni kwa kuisikitikia na kuishtua ndio kama unataka chadema kiendelee kuwepo??? Is this what you really need???
 
hiyo mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ndiyo imefanya maeneo mengine ya nchi hii kuwa maskini. hivi unakumbuka jinsi Mbunge wa Lindi viti maalum Riziki Lulida alivyoongea kwa uchungu bungeni akielezea jinshi halmashauri za mikoa ya lindi na mtwara zilivyohujumiwa na wachaga? kwa vile wao maeneo yao yameendelea kwa raslimali za taifa wanataka maeneo mengine yaendelee kwa raslimali gani? FIKIRIA KULE MWADUI SHINYANGA, almasi imeisha yamebaki mashimo tu. fikiria kule bulyanhulu na geita, migodi ipo mbioni kufungwa, madini yameisha na bado mikoa hiyo ipo maskini. je sasa watajengwa na raslimali zipi kama si na gesi ya mtwara?
Uelewa wako na uelewa wa mwenyekiti wa chama chako upo sawasawa kabisa.

Manufacturing teachers......my hairs!!!!
 
Wadau, hivi karibuni, viongozi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr. Wilbroad Slaa walitangaza mpango wa Tanzania kuongozwa katika Mfumo wa Majimbo. Katika nadharia yao hiyo, ni kwamba nchi ya Tanzania itagawanywa katika Majimbo ili kuharakisha shughuli za maendeleo.

Wametolea mfano kuwa mataifa mengi ikiwa ni pamoja na Marekani yameendelea kwa vile kuna majimbo ambayo yana mamlaka ya kupanga na kutekeleza mipango ya maendeleo katika majimbo yao. Kwa mujibu wa nadharia yao hiyo ni kuwa Tanzania itakuwa na mamlaka mbili za kiutawala.

Kutakuwa na serikali kuu ambayo itakuwa na wajibu wa kushughulikia masuala ya kitaifa ikiwa ni pamoja na ulinzi na usalama sambamba na ushirikiano wa kimataifa. Aidha, kutakuwa na serikali za majimbo ambazo zitakuwa na jukumu la kupanga na kutekeleza mipango ya maendeleo katika maeneo yao.

Katika kutekeleza hilo, CHADEMA wameanzisha kampeni za kueneza hoja yao hiyo kwa wananchi huku ikiwashawishi wakatae raslimali zao kutumika kwa manufaa ya Taifa. Mathalan, baada ya OPERESHENI OKOA KUSINI kutokuwa na mafanikio, viongozi wa CHADEMA waliwashawishi viongozi wa vyama vingine vya upinzani katika mikoa ya Lindi na Mtwara ili waanzishe kampeni ya kupinga mradi wa Taifa wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam chini ya kauli mbiu GESI KWANZA, VYAMA BAADAYE, HAPA HAKITOKI KITU. Kudhihirisha hilo, bendera ya CDM ilipeperushwa wakati wa maandamano yaliyofanyika Desemba 2012 na Januari 2013.

  • Inawezekana kabisa CDM hawana watu wa kutosha wenye sifa za kuunda serikali kwa maana ya Rais, Makamu wa Rais, waziri Mkuu, mawaziri, Makatibu wakuu, wakuu wa mikoa, wakuu wa Wilaya n.k na hivyo kuona kama sera hii ni mwarobaini wa kukidhi idadi ndogo kabisa ya watu wenye sifa hizo ukimwondoa Mwenyekiti wa chama ambaye hata elimu yake ya kidato cha nne haioneshi alisoma shule gani, huku uzoefu wake wa kazi ikiwa ni karani wa benki kuu wakati Baba mkwe wake akiwa Gavana
  • Kwa maoni yangu ni kuwa, kitendo cha viongozi wa CHADEMA cha kuigawa nchi ambayo hawana mamlaka nayo ni uvunjwaji wa katiba na sheria za nchi. Kwamba, nchi ya Tanzania kwa sasa inaongozwa kwa mujibu wa katiba ya mwaka 1977 pamoja na marekebisho yake ambapo ndani ya katiba ya sasa hakuna kipengele kinachoelezea sera ya majimbo. Kwa kitendo cha viongozi wa CHADEMA kuigawa nchi wanastahili kuchukuliwa hatua za kisheria na kama ingekuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kimabavu, Dr Slaa na Mbowe hivi sasa wangekuwa wapo ndani ya magereza yetu wanasubiri hukumu ya kifo kwa makosa yao ya uhaini
  • Hapana ubishi kuwa mikoa kama Dar es salaam, Tanga, Pwani, Lindi na visiwa vya Zanzibar waumini wake wengi ni waislamu, huku mikoa kama Mbeya, Kilimanjaro, Arusha na Manyara waumini wake walio wengi ni wakristo. CDM wameamua kwa makusudi mazima kuwagawa watanzania kwa misingi ya udini, hoja ambayo wanajaribu kuwa-preempt CCM kuwa ndiyo wanaeneza udini. Hili linafanyika kwa makusudi hasa ukizingatia kuwa wote wanaopiga kelele za kuwa CCM ni wadini wote wamelelewa na kanisa (SLAA, MBOWE, LEMA, MNYIKA n.k), kwa ushahidi tazameni CV zao kwenye tovuti ya bunge mkajionee, hata machapisho yao ni vitabu vya dini.
  • Kuonesha kwa vitendo kuwa ni wadini kwa kuyaenzi maneno yalioko kwenye vitabu vitakatifu kuwa “KILA MTU ATAUBEBA MSALABA WAKE MWENYEWE” kwani sasa ile mikoa ambayo haina maliasili kama mito, maziwa, milima na madini na iko nyuma kimaendeleo iendelee kuwa maskini na ile yenye maliasili na iko mbele kimaendeleo na iendelee tajiri.

Sera ya Majimbo imeanzishwa kama sehemu ya kuingilia tu mwelekeo halisi ni kuigawa nchi kimkoa. Katika maandalizi ya hilo, CHADEMA wameanzisha Tovuti za kimkoa kama vile Mbeya Yetu, Katavi Yetu, Iringa Yetu, Lindi Yetu, Mtwara Yetu, Dar es Salaam Yetu, Arusha Yetu na Zanzibar Yetu. Mitandao hiyo imeratibiwa na kuendeshwa na CHADEMA kwa lengo la kuhamasisha vijana ambao ndio watumiaji wakubwa kuichukia serikali na kujitambua kimkoa chini ya dhana ya WAGAWE UWATAWALE.

  • Katika kuonyesha kuwa dhana yao hiyo haitekelezeki, viongozi wa CHADEMA na hasa FREEMAN MBOWE na dr WILBROAD SLAA wamekuwa wakitumia mapato ya kitaifa ya CHADEMA kuendeleza majimbo yao ikiwa ni pamoja na kutoa huduma za kijamii kama vile maji na afya huku akina MNYIKA wakitegemea hoja binafsi bungeni na maandamano kuondoa matatizo yanayowakabili hususan tatizo la maji ubungo. Kutokana na hali hiyo, wabunge wengi wa CHADEMA watapoteza majimbo yao katika uchaguzi wa 2015 kwa vile wananchi wanatambua kuwa wabunge hao hawana uwezo wa kuwaletea maendeleo
  • DR SLAA na MBOWE wamekuwa wakihamasisha maandamano katika maeneo mbalimbali nchini kama mkakati mmojawapo wa kutekeleza sera hiyo ya majimbo. Kwa kutambua athari za maandamano, viongozi hao hawajawahi kuitisha maandamano hata siku moja katika majimbo yao. Mathalan, siku chache zijazo, MBOWE ataitisha maandamano mkoani Mbeya kushinikiza DR KAWAMBWA ajiuzuru. Maandamano pia yanafanyika kwenye wilaya moja ya kanda ya ziwa kupinga kitendo cha nguzo za umeme kuanguka wakati wa mvua nyingi.

Umejitutumua sana, ila unapozungumza fikra potofu uwe makini coz sio kila mtu huku anafikra mgando na mawazo mgando kama yako! yawezekana umetumwa labda, au hujui unachokiandika labda!

Waachie weneye siasa zao wazifanye, wewe watakutumia bureee, halafu wakuache hapo!
 
Yani ulipoweka mjadala wa UDINI tu kwenye makala yako, umemwagia wino makala nzima. Hoja hujengwa ki weledi na kitafiti na si kishabiki, wakati sie tunahaha kutokomeza udini nchi iwe shwari tuwe na religion torelance we unajenga hoja ya udini, Eboo! Fanya research kabla hujaandika na soma alama za nyakati!! CDM watabaki na sera yao ya majimbo, kisomi inakubalika,kimataifa inakubalika (cosmopolitan manifesto), kikanda inakubalika( zonal political manifesto). kwa kukuelimisha tafuta kitabu chochote cha Political science kuhusu policy, sio unakurupuka unaandika ushabikii badala ya hoja jadidu!
Kila chama kina ilani yake na hufata misingi ya ilani hiyo!!!
 
Back
Top Bottom