Not ........ until proven guilty. So ukishaprove then you have every right but remember akikiri na kuahidi kutorudia tena with time trust inatakiwa kurudi sio alikosa miaka sita ilopita akakiri kubadilika but wewe bado tu umelikumbatia kosa lile na references unafanya kila mnapohitilafiana!
On serious note: Hivi kama mwenzi wako alishawahi kucheat unaweza kumtrust tena kweli? .........mh nje ya mada
Sumu ya ndoa kutokubali makosa/udhaifu yako
hivi nikiambiwa I AM SO SORRY LOVE!inatosha kabisa kusahau kwamba kuna njemba umeshaivulia sana chupi huku una pete ya ndoa na mimi kanisani?
hahahahahahaha!Shemeji hebu ishia hapo hapo. Sihitaji sorry wala nini! Ni kwaheri ya kuonana tu. Hata kama ameivua chupi mara moja!
crispin na geoff nyie mshavua chupi mara ngapi? mbona mnataka kusamehewa?
crispin na geoff nyie mshavua chupi mara ngapi? mbona mnataka kusamehewa?
Sumu ya ndoa ni kutokumsamehe mwenzako pale anapokosea,na kutumia makosa yaliyopita kama fimbo ya kumchapia mwenzi wako.
Sumu ya ndoa ni mwanamke kuwa na kiburi sana esp ndoa za kikatoliki. Anahisi utamtimua na ukimtimua mnagawana mali!
God have mercy!Kusema ukweli, Mungu anisamehe, mara nyingi sana. Hata hesabu siikumbuki, lakini kwa hesabu za haraka haraka kwa miaka miwili iliyopita si chini ya mara mia. (Tuko ndani ya mada, I think)
God have mercy!
Kusema ukweli, Mungu anisamehe, mara nyingi sana. Hata hesabu siikumbuki, lakini kwa hesabu za haraka haraka kwa miaka miwili iliyopita si chini ya mara mia. (Tuko ndani ya mada, I think)
god ..Chrispin natamani wife angekuwa hapa anacheck haya majibu yako kama hutapigwa na mwiko wa ugali usoni wewe!!
kweli kabisa!samahani naomba nitoke nje ya mada:vipi mambo msindima?inaonekana bado una kinyongo na ''mzee'',msamehe bure bwana.sasa engagement lini?