Sumu ya kuua kunguru ni ipi?

Dawa yao ni manati sisi tuliwahi kuishi sehemu walikuwa wengi tukanunua manati tukawa tunawatungua baadhi so wakiona tu hiyo hali wanaanza kupungua au kuhama kabisa
Kuwalenga sasa
 
Ungemtia mawe kum'malizia.
 
tafuta miba ya samaki sana yale matumbo tumbo au kama utawezatafuta pande la samaki

kata vipande vipande nyunyizia sumu yabpanya ile nyeusi kam chenga hivi tegea sehem unajua lazima waje kula hakikisha kuku,paka au hata mbwa hawali mana nao watakufa

trust me wataanguka kama mvua yan wanadondoka kama wote

mie jiran kwangu kuna mti huo ni maskani yan ukiacha ndoo ya maji nie unakuta amegeuza swimming pool anadumbukia humo anapiga mabawa humo anazama humo ili mradi aoge kama njiwa
 
Sasahivi wamepungua sanaaa, kuna wakati walikuwa kero mpaka kwenye vibanda vya chips wananyakua watu misosi

Ifanyike kampeni tokomeza kama miaka ile ya 2000's

Na ni Mzee Ruksa ndio aliwaleta huko pwani kutoka India
Kisa cha kuwaleta
 
Ni PM kesho asubuhi nitakupa jina la dawa, ipo unachanganya na mabaki ya chakula akidonoa akiruka haendi mbali anandondoka. Sema wakifa kwa mara ya kwanza wataitana kwa mamia na unaweza kuogopa. ila usiogope ni tabia yao. Kingine nunua manati ukiwalenga wakigundua wakikuona tu wanasepa
 
Kama unajua kutumia manati itabid uanze nayo. Lkn kua makin manati yasije kukubabua mwenyewe
 
Ungeweka tu hapa boss kwa faida ya wote maana haya mandege laanatul ni kero kwa kila raia wa Dar.
 
Kunguru hawa wanadaiwa kuletwa na serikali ya uingireza kwa ajili ya kusafisha mji Mkongwe mwaka 1890 ambao kazi kubwa ni kula uchafu na kuingia Tanganyika wakati huo kuingia mwaka 1850 wakiningโ€™inia kwenye meli na maboti
Mkuu una hakika na ulichoandika au umenena kwa lugha
 
Kunguru wa Dar
Wajanja Sana
Wanaweza fanya tukio ukadhani hii mbona akili kubwa kufanywa na ndege uyu
Kuna siku waliiba nyama jikoni tulizubaa kidogo tukakuta nyama hamna
Hivi hujui hivyo viumbe visivyoongea ndo vina akili kuliko binadamu?
 
Hako katoto kao kalikufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ