Duuuh hao ni hatari. Maana mi ninavyowajua kunguru hata kumsogelea binadamu ni waoga.Changamoto ni hapa kwenye eneo ninaloishi upande wa pili kuna mnazi wameweka kiota hapo sasa wamekuwa wasumbufu sana kwa fujo za kuchafua mazingira wanaweza toka na matakataka wameokota huko wanakuja kutupa eneo hili. Au wanaweza parua mtu bila sababu. Tunashindwa kuanika vitu kwa amani kama nguo nyeupe wanazichafua kusudi kabisa.
Mmmmmmhmn kwamba ni watu wanafanya ushirikina?! Hapana boss. Hii kero haipo kwangu tu kuna sehemu zaidi ya kwangu nimekutana na hii kero ya hawa ndege. Wanausumbufu sana.Hao ni viumbe watu walio katika vazi la kunguru. Hapo cha muhimu ni dua kwa sana.
Hawa wameshazoea sana watu kunguru wa Dar hawana discipline hata kidogo. Anaweza kukaa juu ya bati akakukatia gogo kichwani au mgongoni, unashangaa tu paaaah kitu cha moto moto amekudondoshea wao wanahisi maisha ni mchezo mchezo hawa ndege choko sana.Duuuh hao ni hatari. Maana mi ninavyowajua kunguru hata kumsogelea binadamu ni waoga
Nadhani ipo sumu ambayo inaweza kuwakomesha tena wakinywa maji ndio inazidi kukolea. Hiyo sumu haiwezi kukosekana ndio maana nikasema niweke hapa uzi mnisaidie ushirikiano wa kuwatokomeza .Kikuweli kunguru ni changamoto. Hao viumbe wanakera mpaka basi.
Kuna mtu aliwahi kuniambia eti hata ujaribu kuwategea sumu kwenye vyakula kama maandazi, nk! Wakila na kugundua tu kama ni sumu, basi wakiwahi kunywa maji sumu yote inapoteza nguvu! Halafu unawakuta wanadunda tu.
TAFUTA CHUMVI YA MAWE WAPIGE NAYO WATAKIMBIA UTAKUJA KUNISHUKURUNaomba msaada wa haraka wadau. Hivi ni sumu gani ya kuua huyu ndege mweusi kama lami na mwenye laana kubwa?
Hawa ndege ni wasumbufu sana kupita maelezo na wanakiburi sana kisicho na mashiko yoyote. Yote kwa yote ni ndege wenye kisasi sana pale wanapogundua umejaribu kuwadhuru au kuwashambulia.
Naombeni ushauri wa haraka sana.
Mmmmmmhmn. Aiseee hawa ndege wanalaana na ni wazi wanatakiwa kutokomezwa maana sio wastaarabu. Nadhani haijashindikana kuwatokomeza ila ni vile hatujaamua kwapamoja wakazi wa Dar kuwamaliza.Kwa sumu ni vigumu kuwaua, hata ukiuwa wachache has a wadogo wengine watastuka tu.
Kuna miaka walikuwa kero kwa Da es salaam na pwani nzima mpaka ''Kunguru wa Zanzibar'' likawa sasa ni suala la kitaifa na serikali...
Sasahivi wamepungua sanaaa, kuna wakati walikuwa kero mpaka kwenye vibanda vya chips wananyakua watu misosiMmmmmmhmn. Aiseee hawa ndege wanalaana na ni wazi wanatakiwa kutokomezwa maana sio wastaarabu. Nadhani haijashindikana kuwatokomeza ila ni vile hatujaamua kwapamoja wakazi wa Dar kuwamaliza.
Yeah ni kwenye mnazi. Wanafanya kuhama upande wa kuweka kiota. Mara ya kwanza nimeuwa makinda matatu. Mara ya pili na tatu nimepasua mayai. Naona wamejenga tena na watakuwa wametaga.Umeharibu kiota zaidi ya mara 3 wakatengeneza tena hapohapo?
Aaaah yaani CCM wana mambo ya kiwaki sana. Kila wanalofanya linageuka kuwa mikosi kwa raia.Sasahivi wamepungua sanaaa, kuna wakati walikuwa kero mpaka kwenye vibanda vya chips wananyakua watu misosi
Ifanyike kampeni tokomeza kama miaka ile ya 2000's
Na ni Mzee Ruksa ndio aliwaleta huko pwani kutoka India
Sio aina hii. Hao wastaarabu na hawana noma kwanza hawapo Dar.View attachment 2418563
Ni hao hapo juu au wa kwako wapo vipi ?...,
Mimi huku wapo wachache na wanafanya kazi yao katika ecosystem ipasavyo kwa kula mizoga ya hapa na pale..., wala hawana shida..
Unajua sometimes nawaza labda binadamu ndio virusi..., kuna mdau alikuja eti tumbili wanamsumbua kwenye shamba lake na nyumba yake, nilivyofanya research kumbe yeye ndio kawavamia kwenye makazi yao...
Nadhani hawa viumbe wengine kama wangeweza kukaa na kujadari mustakabali wa maisha yao wangetuona sisi binadamu kama virusi tu (yaani mchanyato wa Corona na Ukimwi)
Hao kunguru weusi wa Pwani wasio na baka jeupe asili yao ni India.Aaaah yaani CCM wana mambo ya kiwaki sana. Kila wanalofanya linageuka kuwa mikosi kwa raia.