Katika pita pita yangu Mitaani Leo nimekutana na habari za Waziri wetu kuagiza sumu Kali kwa njia ya EMS kutoka Korea. Haraka haraka nikaitafuta habari hiyo humu Naona imeishaoondoka. Ukiachilia Mbali madhara makubwa aliyoyapata aliyefungua mzigo pale EMS ili kuukagua, Swali ni kuwa kumbe inawezekana kuagiza sumu Kali kwa EMS, sasa ukipasuka kwa makusudi ya vibaka Si watakufa wale ambao hawakukusudiwa? Tukielekea 2015 tutaona mengi