Hii Oled naifanisha na super Amoled wanayotumia sumsung kwenye simu zao, uzuri wa oled ina deep black, sema nayo ni ghali sana around million 2 tv zao zinaanzia, wazalishaji wakubwa wa oled ni LG, sumsung hawazalishi, wandhalisha qled (quantum dot)ukitoa oled ambayo ndio tech halisi zote zilizobakia miniled, qled, uled etc ni lcd sema mwanga wake sio wa bulb, inatumia mwanga mdogo mdogo sana ku imitate oled.
mfumo ni kama huu
![]()
lcd ya kawaida inakuwa na bulb kabisa kama za ukutani
![]()
na oled yenyewe haitegemei mwanga toka nyuma, kioo chenyewe ndio kinatoa mwanga
![]()
Daaaah shukran sana mkuu kwa hii elimu...ukitoa oled ambayo ndio tech halisi zote zilizobakia miniled, qled, uled etc ni lcd sema mwanga wake sio wa bulb, inatumia mwanga mdogo mdogo sana ku imitate oled.
mfumo ni kama huu
![]()
lcd ya kawaida inakuwa na bulb kabisa kama za ukutani
![]()
na oled yenyewe haitegemei mwanga toka nyuma, kioo chenyewe ndio kinatoa mwanga
![]()
Ps 5 sokoni ishapungua ?Katika tv ninachojali ni kama nikiunganisha playstation yangu picha inaonekana vizuri zaidi ya hapo sina kazi kubwa na tv.
Yes sema unaenjoy hii kituHii Oled naifanisha na super Amoled wanayotumia sumsung kwenye simu zao, uzuri wa oled ina deep black, sema nayo ni ghali sana around million 2 tv zao zinaanzia, wazalishaji wakubwa wa oled ni LG, sumsung hawazalishi, wandhalisha qled (quantum dot)
Jifunze sasa, kuna nyuzi kadhaa zinaelezea tv bora zina sifa gani, japo ukubwa pia ni kigezo ila kuna vigezo bora zaidi.
exactly, super amoled ni marketing term ya vioo vya oled vya samsung.Hii Oled naifanisha na super Amoled wanayotumia sumsung kwenye simu zao, uzuri wa oled ina deep black, sema nayo ni ghali sana around million 2 tv zao zinaanzia, wazalishaji wakubwa wa oled ni LG, sumsung hawazalishi, wandhalisha qled (quantum dot)
Bado. Iko moto na hivi hata wacheza mpira hawajaiona fifa 22 kwenye 5 inakuaje kupungua siyo leoPs 5 sokoni ishapungua ?