Sumsung led Tv series 5 n 5000 32 inches

Ubora wa TV unapimwa na vitu vikuu viwili ambavyo ni:

A.Screen techs, ambapo kuna:

1.QLED:Quantum light emmiting diode

2.OLED:Organic light emmiting diode

3.LED TV

4.LCD:Liquid Crystal Display

4.DLP: Digital light processing

5.Plasma panels

6.DTV: Direct TV

Jinsi unavyoshuka chini kutoka namba moja kuja namba sita ndivyo ubora wa TV unavyopungua.

B.Resolution,ambapo kuna resolution tano:

1.8K

2.4K

3.1080p

4.720P

5.480P

Kadri unavyoshuka kutoka namba moja kuja namba tano ndivyo ubora wa TV unavyopungua.

Hii maana yake ni kwamba unaponunua TV hakikisha kuwa upo angalao kwenye tatu bora ya hivyo vitu viwili hapo juu.
 
Unaweza kuta tv is titled as 4k or any big pixels resolution lkn ubora wa picha ni mbovu, that is why unakuta tunakimbilia kwa hawa giant (sumsung, lg & sony)kwan wanajitahidi kuweka features za ku enhance picha ziwe bora, sasa nilipata utata kidg kuhusu hii series ya sumsung 32 inches series 5 n 500 kwamba kama kuna mtu anaitumia anipe review how is it, what should i expect from it! Au recommendation ya samsung 32 led tv ambay ni nzri na namna ya kuipata
 
Ubora wa picha unategemea na media unayoplay

kama unaplay ka video ka 480p kwenye 4K unategemea itaonyesha vizuri??? Kwa enzi hizi ni angalau video ianzie 1080p ndio itakuwa nzuri chini ya hapo ni changamoto tena hasa kama unatumia TV kubwa Unless TV yako iwe na Upscale kitu ambacho kipo kwenye TV chache. Mimi na nashauri kwanza achana na hiyo TV. hiyo TV sio ya enzi hizi kama ww ni mpenda TV. Tafuta TV za 2020 ka Hisense ambazo bei sio kubwa.
 
Asante kwa ushauri mkuuu
 
Tv yenyw ndio hyo hapo!!!
Screenshot_20210704-083236.jpg
 
Ubora wa TV unapimwa na vitu vikuu viwili ambavyo ni:

A.Screen techs, ambapo kuna:

1.QLED:Quantum light emmiting diode

2.OLED:Organic light emmiting diode

3.LED TV

4.LCD:Liquid Crystal Display

4.DLP: Digital light processing

5.Plasma panels

6.DTV: Direct TV

Jinsi unavyoshuka chini kutoka namba moja kuja namba sita ndivyo ubora wa TV unavyopungua.

B.Resolution,ambapo kuna resolution tano:

1.8K

2.4K

3.1080p

4.720P

5.480P

Kadri unavyoshuka kutoka namba moja kuja namba tano ndivyo ubora wa TV unavyopungua.

Hii maana yake ni kwamba unaponunua TV hakikisha kuwa upo angalao kwenye tatu bora ya hivyo vitu viwili hapo juu.
mkuu na ULED vipi ?
 
Fuatilia ushauri wa juu mkuu, TV si mbaya kama unaipata kwa bei rahisi ila zipo inch 32 ambazo ni nzuri zaidi.

Ina resolution ya 1366x768p hii resolution ya pc ambayo ni kawaida sana. 32' za kisasa angalau iwe na 1080p ama 4k.

Pia kuna mambo kama HDR yanaongeza uzuri wa kioo.

Mfano kwa Samsung 32" ipo T5300.
Asante kwa ushauri wako, chief ila bongo kupata iyo series ni kazi sana, HDR ni future nzuri kama iyo TV ingepatikana, and also my burget is fixed not above 500k, bora nichukue tu hyo kuliko hawa kina aborder, ouling, boss n. K,,,, but i think apart from HDR naona features kama ultra clean view, & colors enhancements kwa hii 32 ya resolution 1080 *720... I think it's worth for the money i have!
 
Hio model nimeiona Zoom Tanzania BTW ndio maana nikaipost. Wanauza laki 6, Sema ni Dukakuu, means somewhere Kuna Chimbo bei chini ya hapo.

Angalia mwenyewe mkuu, hata hio sio mbaya kama huna matumizi makubwa unaangalia tu Local TV.
 
Nimekuelewa mkuu
 
aiseee hivi vitu mnavyoongelea hapa kwangu ni vigeni kabisa me tv naangaliaga ukibwa tu wa nje
 
Back
Top Bottom