Sumsung J1 na Tecno W1 ipi bora

nlikua nacharge simu. Plug ikapiga short kwenye USB. Mpaka sasa simu haiwaki wala haioneshi chochote. Nafanyaje
usb kwenye simu au pale kiunganishio cha charger?

kama ni kwenye simu pagumu hapo, battery linatoka? halijavimba? naona kama ni vyema ukamuone simu ili ujue ni system charge, battery au motherboard ndio imeumia.
 
Kama mtu anatengeneza vitu vibovu lazima tuseme.
....Unaita vibovu kwa sababu una uwezo wa kununua Samsung lakini kwa aliyeko kijijini au yeyote mwenye uchumi mdogo Tecno ni mkombozi kwake.
 
mkuu kama nilivyokujibu hapo juu umetafuta ile j1 ya kizamani kabisa ya mwaka 2015 then uka compare, hebu compare na j1 ya karibuni uone.

mfano j1 ya 2016 ina

1.3ghz quadcore cortex a7
internal 8GB
ram 1GB
camera 5mp etc

hio tecno camera 2mp na ya mbele 0.3mp sipati picha ipoje.

pia j1 ya 2016 ina 4G kitu ambacho hio tecno haina,

battery la j1 2016 pia ni kubwa zaidi.

Samsung Galaxy J1 (2016) - Full phone specifications
 
....Unaita vibovu kwa sababu una uwezo wa kununua Samsung lakini kwa aliyeko kijijini au yeyote mwenye uchumi mdogo Tecno ni mkombozi kwake.
Kitu kibovu kinamsaidiaje maskini?
 
Asante mkuu vp kuhusu nokia android na sony.
mkuu Nokia hizi za bei rahisi zimenikalia kushoto sana, nzuri kati ya hizi zilizotoka ni Nokia 7 na 8, na bei zake zimesimama sana kuanzia 700,000 hadi 1,200,000 hivi.

Nokia 6 na 5 sio mbaya na hio 5 unaweza pata kwa hio budget, ila hazijatengenezwa kwa ajili ya matumizi makubwa na wewe nakufahamu unataka nini kwenye simu.

Sony simu zao pia ni premium sana si rahisi kuzipata nzuri kwa hio budget. na hizi za bei rahisi nyingi specs zake sio nzuri.
 
Basi hapo tofauti ni camera tu
 
pia snapdragon 625 ni nzuri sana kwa hio budget na realistic unaweza pata xiaomi redmi note 4.
simu zote hizo zina angalau 2GB ram na angalau 16gb storage zipo zenye 3GB ram na 32GB storage.
CHIEF MKWAWA
smart phone gan nzr nitaipata around lak nne nisaidie na spacification zake kabisa
Hii simu pia inge mfaa ndugu troublemaker
Xiaomi Redmi Note 4X 3GB 16GB
Snapdragon 625 Octa Core
13.0MP 5.5" Fingerprint ID 4G LTE
Code:
https://www.gsmarena.com/xiaomi_redmi_note_4x-8580.php
 
mkuu chief mkwawa mi simu yangu ni samsung j5 prime ila upande mmoja wa laini umegoma kufanya kazi tatizo ni nin mkuu
umegoma toka mpya au umeanza sasa hivi, umetest line za mitandao yote?

kama ina warranty wapelekee samsung wakutengenezee.
 
Chief hii j1 around ngap za kitanzania???
 
hahaha..,samsung ni kitu kingine bruh usilinganishe na ujinga
 
So Kwa mm nzur mkuu nichukue ya sh ngap ndo yaweza ikawa nzur kwangu??
hizo simu zenye cortex a7 hata vigame vidogo kama dream league vinapata shida, umekosa umekosa angalau cortex A53.

huawei p8 lite na samsung j5 huwa nazirecomend sana sababu zinapatikana kirahisi budget ya 200,000 hadi 300,000. zote zina ram zaidi ya 1GB na pia zina cpu ya cortex a53, pamoja na vioo vya HD.
 
Naombeni msaada kujua kati ya hizi simu sumsung j1 na Tecno w1 ipi bora zaidi maana nataka kununua moja
Asanteni
Samsung j1 ipo vzr lakini upande wa betri htr sana [emoji20] [emoji20] inakula usipime
 
Na hii samsung A5(2017) ina mapungufu gani, na budget yake ikoje? Nimeipania sana. Pliz Chief-Mkwawa!
 
Na hii samsung A5(2017) ina mapungufu gani, na budget yake ikoje? Nimeipania sana. Pliz Chief-Mkwawa!
A series mapungufu yake ni yale yale ya siku zote
-Zina kioo mbele na nyuma, kioo cha nyuma kinaweza crack muda wowote, hakiharibu simu lakini kinaweza leta shape mbaya, ila kama ni mtu wa fashion na unapenda simu yenye muonekano mzuri glass ya nyuma na mbele ni nzuri uwe tu mtunzaji, au uiekee protector.

-perfomance yake haiendani na bei yake, hizi simu hawazieki processor zenye nguvu sana, inatosha matumizi yote ya kawaida ila vitu vizito haitaweza kuvirun. ila sababu ya cpu dhaifu unapata simu inayokaa sana na charge.

kama matumizi yako ni ya kawaida ni simu nzuri, bei zake huwa ni kubwa kuliko j series jiandae around 600,000 hivi kwa A5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…